unamjuaje kwmba hyu ni bahli?

unamjuaje kwmba hyu ni bahli?

Daullah

Senior Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
190
Reaction score
46
Hili swala lmekuwa lkiniumza na kunitatza sna hasa pale lnapokuja swala la matumizi ya pesa,hv ukisndwa kumpatia mpenzi wko pesa au kumtimizia hitaji lake on time pndi anapohtaji na kumwambia kwmba hali yko c nzuri hvo akuvumilie kdogo then yy anatoka hpoa na kwenda kwa mashoga zke na kuwaambia kuwa "cjapata kuona mwanaume bahili kma hyu"hvi huo utakuwa ni ubahili au kutokuwa nacho kwa wakati huo?
Swali,
Je neno bahili linatafsiliwaje na hawa warembo?
 
Wachana naye huyo masikini tafuta mwanamke tajiri.
 
Kitu kimoja ambacho ni wazi... Kama mwanaume siyo bahili, hata mwanamke mlalamishi ni nadra kukuita bahili hata itokeapo umeshindwa kutimiza haja yake. Hata kama unamboa atasema tu "Yule mwanaume m..nzi yule ila kwa kutoa utapenda!"

Daullah, kama umesikia ukaambiwa kuwa wewe ni bahiri... Kuna uwezekano mkubwa kuwa ni bahili. For believe me you hata wanawake wachunaji anajua mwisho wa kamba yako (ni mafundi wa kunusa pesa); mara nyingi anakuomba kile anachojua una uwezo nacho. Kama utatimilisha ama kutotimilisha that is another matter...
 
bahili hapati mke! Ohooooooooooooo!
 
kitu kimoja ambacho ni wazi... Kama mwanaume siyo bahili, hata mwanamke mlalamishi ni nadra kukuita bahili hata itokeapo umeshindwa kutimiza haja yake. Hata kama unamboa atasema tu "yule mwanaume m..nzi yule ila kwa kutoa utapenda!"

daullah, kama umesikia ukaambiwa kuwa wewe ni bahiri... Kuna uwezekano mkubwa kuwa ni bahili. For believe me you hata wanawake wachunaji anajua mwisho wa kamba yako (ni mafundi wa kunusa pesa); mara nyingi anakuomba kile anachojua una uwezo nacho. Kama utatimilisha ama kutotimilisha that is another matter...
tunajua msimu wa mavuno, huwezi muomba mpenzi wako hela ya shoping january !
Huyu wa january to dec bila bila ana matatizo huyu.
Kwanza kumuomba mpenzi hela ni zoezi gumu sana sasa umuombe halafu utoswe inauma kwa kweli,hela ya mpenzi tamu atiii!
 
Kitu kimoja ambacho ni wazi... Kama mwanaume siyo bahili, hata mwanamke mlalamishi ni nadra kukuita bahili hata itokeapo umeshindwa kutimiza haja yake. Hata kama unamboa atasema tu "Yule mwanaume m..nzi yule ila kwa kutoa utapenda!"

Daullah, kama umesikia ukaambiwa kuwa wewe ni bahiri... Kuna uwezekano mkubwa kuwa ni bahili. For believe me you hata wanawake wachunaji anajua mwisho wa kamba yako (ni mafundi wa kunusa pesa); mara nyingi anakuomba kile anachojua una uwezo nacho. Kama utatimilisha ama kutotimilisha that is another matter...

Unaniomba pesa kwa minajili ipi?

1. wewe ni yatima?

2. huna kazi?

3. Bado ni mwanafunzi?

4. Ni mke wangu?

Kama ni NONE OF THE ABOVE..niite tu bahili!

I will spend on u as I wish but never as u want me to!
 
tunajua msimu wa mavuno, huwezi muomba mpenzi wako hela ya shoping january !
Huyu wa january to dec bila bila ana matatizo huyu.
Kwanza kumuomba mpenzi hela ni zoezi gumu sana sasa umuombe halafu utoswe inauma kwa kweli,hela ya mpenzi tamu atiii!

hahaha! I hope Daullah kakusoma hapa...
 
Last edited by a moderator:
Unaniomba pesa kwa minajili ipi?

1. wewe ni yatima?
2. huna kazi?
3. Bado ni mwanafunzi?
4. Ni mke wangu?

Kama ni NONE OF THE ABOVE..niite tu bahili! I will spend on u as I wish but never as u want me to!

Mentor, kuna wanadamu wa kila aina... Inafanya kila mmoja a setle na yule ambae anaona kuwa ana vigezo ambavyo vinakaribiana na anavyotaka katika mahusiano. Hayo uliyoeleza hapo juu halina ubishi ndiyo msimamo wa wanaume wengi tu.

Kwa hiyo wanaume wa aina yako huwa wajanja na makini not to fall for women who evidently you have to provide or ni high maintenance. Ila ukisha amua kuchukua mwanamke ambaye anaonekana wazi kuwa anahitaji support yako lazima uitwe bahili wewe. Lol
 
Last edited by a moderator:
Unaniomba pesa kwa minajili ipi?

1. wewe ni yatima?

2. huna kazi?

3. Bado ni mwanafunzi?

4. Ni mke wangu?

Kama ni NONE OF THE ABOVE..niite tu bahili!

I will spend on u as I wish but never as u want me to!

dah! Nimeipenda sana post hii.
 
Ki ukweli wapo wanawake ambao hukera. Yani unakuta anahamisha shda zote za ukoo wake kwa mpenzi wake bila hata kuangalia mwenzi wake ana hali gani kiuchumi. Sasa inapotokea anakosa anachohtaji ndpo anaanzisha malalamish ya ubahili... Gold diggers hawafai.
 
bahili hafaidi
 
Back
Top Bottom