Unamjuaa huyu???

Unamjuaa huyu???



wala sio cabo snoop Huyu ni RIO PAUL fashionista wa bongo he's a very good friend of mine, kind hearted ukiachia mbali mambo yake he love fashion and he's 100% into it..though ana
girlish attitudes but awe shoga asiwe shoga hayo ni maisha yake binafsi sidhani kama yanapaswa kujadiliwa jamvini
hilo ni jibu toshaa!
 
Mabwabwa mengine aibu tupu, huenda hawa hawakuzaliwa bali walijampwa!
 
Rio is an amazing person so unique and with great personality. He's not gay ni kijana anayejipenda sana..
 
:hatari:hii nomaa sasaa...haya st anna.
naomba ieleweke kwamba sitetei ushoga..hivi jamii ni kina nani??? Yeye ni sehem ya jamiii kumbuka..acheni kumpangia shangwe zake..tatizo mlisoma st.kayumba ndo mana mna behave kishenzi
 
Nilishawahi mona anahojiwa kwa tv,kwa jinsi nilivyomsoma duh kama sio punga basi urojooooo
 
Back
Top Bottom