Unamjuaa huyu???

Unamjuaa huyu???

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,573
Reaction score
3,254
wakuu naumba kujuzwa?huyu ni nanii?namuonaga na kampanii ya wadada tu...ni mzimaa,yani simba dume angurumee?? 303294_276020115758610_100000518720650_1065395_1809628660_n.jpg 314959_275101439183811_100000518720650_1061668_992241503_n.jpg
 
kwani ana tofauti gani na prakatatumba? pengine anafanya kazi duka la mabegi
Napita tu
 
Huyu si ndo kapiga kibao kinacho hit sasa hivi bongo?
 
Huyu si ndo kapiga kibao kinacho hit sasa hivi bongo?

wala sio cabo snoop Huyu ni RIO PAUL fashionista wa bongo he's a very good friend of mine, kind hearted ukiachia mbali mambo yake he love fashion and he's 100% into it..though ana girlish attitudes but awe shoga asiwe shoga hayo ni maisha yake binafsi sidhani kama yanapaswa kujadiliwa jamvini
 
mbonaa kama kamandaa umeongeaa kwa gazabu flani!!kama ni shogaa hapa sio ulayaa kumbuka,shoga ana haki afrikaa.sorry kama ni rafiki yako.kazi yake fashionista aina nomaa kazi swafii ila kiutamaduni wetu watu wenye tabia hiyo ni wa kuwatengaa.sorry kama nimekukwanzaaa

wala sio cabo snoop Huyu ni RIO PAUL fashionista wa bongo he's a very good friend of mine, kind hearted ukiachia mbali mambo yake he love fashion and he's 100% into it..though ana girlish attitudes but awe shoga asiwe shoga hayo ni maisha yake binafsi sidhani kama yanapaswa kujadiliwa jamvini
 
hayo mambo ya fashionista yapeleka milan na nyc,..africa hatuna hayo..for me anaonekana ubwabwa,.nyerere is turning in the grave
 
ila mashoga siku hizi wameongezeka kweli mjini hapa!!

huyu naye ndo wale wale tu, anachezea upinzani!!!
 
Back
Top Bottom