Unamjua Nyerere?

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Mwl: We JUMA unacheka nini?
JUMA: nimeona paja lako mwl!
Mwl: Huna adabu toka na usirudi hadi kesho.
Mwl: Na we ALLY vipi?
ALLY: Nimeona kamba ya bikini yako.
Mwl: Shenzi, toka na usirudi wiki nzima.
Mwl: Na we BAKARI unaenda wapi?
BAKARI: Kwa nilichokiona nadhani nimefukuzwa shule. JE BAKARI ALIONA NINI?
 
Baba alimuuliza mwanawe unamjua nyerere?
Mtoto: simjui.
Baba: pumbav, kuwa makini na shule.
Mtoto nae akamuuliza babake unamjua mzee Juma?
Baba: simjui.
Mtoto: Pumbav, kuwa makini na mkeo.
baba hoi!
 
Dahh..!! Sina raha tokea nilipokifahamu kirefu cha (H.I.V)
H-hatari.
I-imeingia.
V-Vitandani...
sasa nimeanza kulala stoo. Je wewe utalala wapi?
 
Mume: Hello baby!
Mke: Hello swty!
Mume: Nitachelewa kurudi leo
Mke: Nishajua uko kwa viwanawake vyako, ww ni mznzi sana sijui ilikuaje ukanioa. Nakuchukia kama nn na sikupend! ckupend!
Mume: Niko BENKI hapa
Mke: Haa! Ulijuaje kama sina hela. Nitolee laki 1 baby, nakupenda sana kuliko roho yangu. Nakutengea maji yakuoga sweety. Usisahau hizo pesa. Ninunulie na chips kuku mmwaaaa!
Mume: Niko katika BENKI YA KUCHANGIA DAMU
Mke: Nyoooo...! Mbwa wee.
 
Baba alimuuliza mwanawe unamjua nyerere?
Mtoto: simjui.
Baba: pumbav, kuwa makini na shule.
Mtoto nae akamuuliza babake unamjua mzee Juma?
Baba: simjui.
Mtoto: Pumbav, kuwa makini na mkeo.
baba hoi!

enhehehehenhehehenehehehehnheee!!!!!!!!
 
jihadhari kabla ya hatari!Hivi ngono ina nini jamani mbona haichoshi watu toka imeanza kuongelewa na kufanywa!
 
Back
Top Bottom