stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,976
- 4,208
Jaribu kumtambua
Jaribu kumtambuaView attachment 1120097
Mbona kama Kala Jeremiah au nimemfananisha
HayaNgoja niweke siti nitarudi kusoma
Huyu lazima itakuwa anakula Ugali wa sembe toka Mexico.
Kala huyo
Kufika wapi??..Kuchoka kimaisha ama??..Kwann hawezi??Kala awezi kufikia apo itakua ni editing huyo au ikute ni kichupa kipya anaachia
Daah kama baba yangu kule kijijiniTazameni uso na ngozi yake, huyo hajachoka isipokuwa hajanyoa tu.
Probably ni kwa ajili ya shooting. Juzi kwenye kuadhimisha MV Bukoba ambayo huwa ni Birthday yake as well alihojiwa akasema kuna project anakuja nayo!