Nahitaji mwalimu wa kunifundisha Spanish

Pre form one

Member
Dec 20, 2023
22
35
Habari wanajukwaa pendwa ndani na nje yanchi!Tuanze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi kubwa ya Maisha.

Naombeni kama unamfahamu mwalimu au mtu yeyote ambaye anaweza kunifundisha Spanish language uniunganishe nae kwa namba zifuatazo 0743567159(what's up tu ).

Mimi mwanafunzi wake napatikana Posta ya zamani Bandarini

Nashukuru Sana na Mwenyezi Mungu awabariki.
 
Everything you've at your fingertips niga. Just think a little bit ie just a little a very little bit like a seed if mustard
 
Back
Top Bottom