Vipi? kafa panya??Mmmhhh
Angepeleka tangazo ITVUmepewa game zen after game ndo amekwambia anaumwa ndo unafungua uzi hapa ...
Sipati picha ungefika tu akwambie anaumwa na hasikupe game ingekuwaje .....
Hapana mkuuVipi? kafa panya??
KUVAA SURUALI SIO SIFA PEKEE YA KUITWA MWANAUME
hili swali hata mama ako mzazi hawezi kukuelewa ulivyo mpuuzi.Kama wiki moja iliyopita nilienda mkoa kukutana na girlfriend wangu ambae hatujaonana kama miezi mitatu na kwasasa tupo mikoa miwili tofauti, yeye yupo Dodoma mimi nipo Dar.
Nilimuuliza kama hayupo period (bleed) ili nikienda nisishindwe kutikisa nyavu kama Messi na akanambia kwamba yupo vizuri tu hivyo nisiwe na wasiwasi.
Nilivyofika mkoa alikuja nilipofikia na nikapiga zangu game round kadhaa.Baada ya kumaliza kupiga game akanambia kwamba anajiskia kuumwa kisha nikamuuliza hali ile imemuanza siku hiyo baada ya kupiga game au kabla hata ya game akanambia imemuanza kama siku mbili zilizopita.
Nilimuuliza kwanini hakuniambia hali hiyo kabla sijaenda ili kama vipi nihairishe safari akanambia "Niliogopa kukuambia mana najua ungehairisha kuja kuniona wakati mimi nimekumiss"
Je kutokana na kauli yake hiyo je anonesha ana mapenzi ya kweli na mimi au aniektia tu ili nijione napendwa ?
Karibuni tupeane uzoefu wadau
Kama wiki moja iliyopita nilienda mkoa kukutana na girlfriend wangu ambae hatujaonana kama miezi mitatu na kwasasa tupo mikoa miwili tofauti, yeye yupo Dodoma mimi nipo Dar.
Nilimuuliza kama hayupo period (bleed) ili nikienda nisishindwe kutikisa nyavu kama Messi na akanambia kwamba yupo vizuri tu hivyo nisiwe na wasiwasi.
Nilivyofika mkoa alikuja nilipofikia na nikapiga zangu game round kadhaa.Baada ya kumaliza kupiga game akanambia kwamba anajiskia kuumwa kisha nikamuuliza hali ile imemuanza siku hiyo baada ya kupiga game au kabla hata ya game akanambia imemuanza kama siku mbili zilizopita.
Nilimuuliza kwanini hakuniambia hali hiyo kabla sijaenda ili kama vipi nihairishe safari akanambia "Niliogopa kukuambia mana najua ungehairisha kuja kuniona wakati mimi nimekumiss"
Je kutokana na kauli yake hiyo je anonesha ana mapenzi ya kweli na mimi au aniektia tu ili nijione napendwa ?
Karibuni tupeane uzoefu wadau
Mkuu mimi nimehusikaje hapa, mbona wanitaja?Appologies in advance ila wwe ni mpumbavu.
Ungekua jiran ningekulamba makofi kenge wewe.
Mwanamke wake anataka helaWewe mwenye mwanamke umeshindwa kumgundua..sisi tutaweza!? Wakati mwingine muwe serious bana
yani nime log in kuja kucheka na kusepa ha ha ha ha ha ha hakwa akili kama hizi ndo maana ccm inashinda uchaguzi
Ahahahahah...Mkuu mimi nimehusikaje hapa, mbona wanitaja?
Huyo mwanamke kakuzidi akili basi tu
Hiyo ni 'alkasusu.Hii kahawa ya mama klaree leo kanichanganyia na bangi au na nyie wenzangu hamjaelewa??
Maana wanawake kwa malimbwata hawajambo.