Unamchukuliaje mwanamke wa aina hii ?

Unamchukuliaje mwanamke wa aina hii ?

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
657
Kama wiki moja iliyopita nilienda mkoa kukutana na girlfriend wangu ambae hatujaonana kama miezi mitatu na kwasasa tupo mikoa miwili tofauti, yeye yupo Dodoma mimi nipo Dar.

Nilimuuliza kama hayupo period (bleed) ili nikienda nisishindwe kutikisa nyavu kama Messi na akanambia kwamba yupo vizuri tu hivyo nisiwe na wasiwasi.

Nilivyofika mkoa alikuja nilipofikia na nikapiga zangu game round kadhaa.Baada ya kumaliza kupiga game akanambia kwamba anajiskia kuumwa kisha nikamuuliza hali ile imemuanza siku hiyo baada ya kupiga game au kabla hata ya game akanambia imemuanza kama siku mbili zilizopita.

Nilimuuliza kwanini hakuniambia hali hiyo kabla sijaenda ili kama vipi nihairishe safari akanambia "Niliogopa kukuambia mana najua ungehairisha kuja kuniona wakati mimi nimekumiss"

Je kutokana na kauli yake hiyo je anonesha ana mapenzi ya kweli na mimi au aniektia tu ili nijione napendwa ?

Karibuni tupeane uzoefu wadau
 
Kwani mhusika kajibu vipi hilo swali?
 
Unaonekana bado ni mwanafunzi wa sekondari au una akili za kitoto
 
Kwani yeye si amekwambia anaumwa itabidi ukubaliane nae tu
 
Hili nalo la kufungulia uzi ? Yaani sisi ndio tujue kuwa anakupenda ? Hivi nayeye amewezaje kumvulia andaz kama wewe, jitathmini kuna mahali hauko sawa...
 
Hakupendi huyo anataka ususe ili abaki na ampendaye
 
Back
Top Bottom