Unamchukuliaje mwanamke wa aina hii ?

Unamchukuliaje mwanamke wa aina hii ?

Binadamu hatuna wema wala kuridhika...

Angesema ukweli ungemuona muongo, amasema uongo ili uje... na game amekupa unaanza kuhoji hoji...


Cc: mahondaw
 
Wanawake wanachangamoto sana.wengine wanapenda ufanye nao sex mara moja kwa wiki....inategemea na maumbile pamoja na vichocheo vya miili yao;kama vipi vaa raba.
 
Baharia akiambiwa na demu wake naumwa response ni kumchukua na kumpeleka hospitali.
Sasa binti wa watu kajitahidi kakupa umepiga vyako kadhaa, umekuwa mwepesi, anakuambia hayuko vzr unashindwa kumpeleka japo dispensary kweli?


Fala sana ww baharia

Cc Unforgetable
 
Kuna usemi mmoja mzee wangu hupenda kuutumia " Don't send boys to do men's work". We mvulana uliyeanzisha thread vitu vingine uwe unatumia common sense then unakausha tu kuliko kuonyesha ujinga wako hadharani. Unashusha hadhi ya kiume bwege wewe.
 
Duuh wewe jamaa wewe. Nakomea apa.nonsense
 
Kama wiki moja iliyopita nilienda mkoa kukutana na girlfriend wangu ambae hatujaonana kama miezi mitatu na kwasasa tupo mikoa miwili tofauti, yeye yupo Dodoma mimi nipo Dar.

Nilimuuliza kama hayupo period (bleed) ili nikienda nisishindwe kutikisa nyavu kama Messi na akanambia kwamba yupo vizuri tu hivyo nisiwe na wasiwasi.

Nilivyofika mkoa alikuja nilipofikia na nikapiga zangu game round kadhaa.Baada ya kumaliza kupiga game akanambia kwamba anajiskia kuumwa kisha nikamuuliza hali ile imemuanza siku hiyo baada ya kupiga game au kabla hata ya game akanambia imemuanza kama siku mbili zilizopita.

Nilimuuliza kwanini hakuniambia hali hiyo kabla sijaenda ili kama vipi nihairishe safari akanambia "Niliogopa kukuambia mana najua ungehairisha kuja kuniona wakati mimi nimekumiss"

Je kutokana na kauli yake hiyo je anonesha ana mapenzi ya kweli na mimi au aniektia tu ili nijione napendwa ?

Karibuni tupeane uzoefu wadau
Umepewa game zen after game ndo amekwambia anaumwa ndo unafungua uzi hapa ...
Sipati picha ungefika tu akwambie anaumwa na hasikupe game ingekuwaje .....
 
Kama wewe mwenyewe unaemfahamu umeshindwa kumuelewa sisi ambao hatumfahamu hatuwezi kumuelewa.
 
Hii kahawa ya mama klaree leo kanichanganyia na bangi au na nyie wenzangu hamjaelewa??

Maana wanawake kwa malimbwata hawajambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom