Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,063
Auntie zako mbona huwa naview jamani....



unaview mara moja kwa miezi hivi au umehide nisione status zako auntie
Auntie zako mbona huwa naview jamani....



unaview mara moja kwa miezi hivi au umehide nisione status zako auntieHata mimi.Siku hizi maisha yamerahisishwa, una mute, block au kufuta kabisa namba😂😂ila tu nina roho mbaya kinoma,
Nje ya mada mi hata tukigonga zaidi ya mwaka bila kuwasiliana nakufuta kwenye phonebook yangu
Auntie jamani....Naview sana....halafu wewe mwenyewe pia siyo mtu wa kupost post mbona.....unaview mara moja kwa miezi hivi au umehide nisione status zako auntie
Ipo wazi kabisa.
Auntie jamani....Naview sana....halafu wewe mwenyewe pia siyo mtu wa kupost post mbona.....
Auntie ni'hide wewe usione kweli jamani......HapanaIpo wazi kabisa.


bora mimi auntie napost hata kwa mwezi mara moja sio wewe usikute kuna watu WhatsApp hawaijui hata sura yako mtaalam wangu wa kupost status huyu apa yaani asipopost ataumwa Mzigua90bora mimi auntie napost hata kwa mwezi mara moja sio wewe usikute kuna watu WhatsApp hawaijui hata sura yako mtaalam wangu wa kupost status huyu apa yaani asipopost ataumwa Mzigua90





Kuhusu DP yangu...Nitakuambia siku moja

Auntie nimecheka vibaya....
Umenikumbusha jambo moja lilitokea nyuma hukoKuhusu DP yangu...Nitakuambia siku moja
Hapo kwa Mzigua hadi nimecheka tena![]()




Mzigua ataumwa siku WhatsApp watoe kipengele cha kupost status
Na sisi tunaopost memes 10 kwa siku unatuchukiloaje ndugu mwandishi?
bora mimi auntie napost hata kwa mwezi mara moja sio wewe usikute kuna watu WhatsApp hawaijui hata sura yako mtaalam wangu wa kupost status huyu apa yaani asipopost ataumwa Mzigua90









nawakumbusha msije mkanisahau

Kwamba usipopost tunakusahautuwe marafiki basiHata mimi.
Memelords
Miongozo mkolezo🤣🤣🤸Mleta mada anaendelea kupewa miongozo
Mkuu wew ndo mlengwa ninUsifanye maisha kua magumu kiasi hicho, acha chuki, wivu, acha watu waishi maisha yao.
Nawe ishi yako, Mute, dunia tunapita.
Saf Sana mkuu wanaume kamili tumsapoti mtoa Mada Dume zima unakuta linashinda status kaz kujipiga filta na kujirembuaKuja wengine wana vile viapp vya kuwanotify mtu fulani akiwa online, yaani ukiwashadata tu unakutana na status 'just now' venye nawapuuzaga mixer kuwa mute mpaka tukikutana physically wananunaga kabisa.
Ndio simu yako na bando lako ila tabia nyingine waachieni dada zenu. Na wengi wanaomuandama mtoa mada ndo tabia zao, janaume zima eti lina akaunti Tiktok
What the F*ck