Unamchukuliaje ex wako?

Unamchukuliaje ex wako?

Ex ni nyumba ndogo nikijisikia napiga mzigo, haijalishi tuliachana vp hata kama tulishikiana visu kuna muda yataisha na mchezo utaendelea hata kama ameshafunga ndoa
Huu ndio ukweli na jamaa kawa muwazi vya kutosha wengine ni kujibaraguza tu na kujivunga huku liroho linapwita; ndio mana tangu enzi ilikuwa muhimu mwanamke kuolewa na bikira yake kuepusha upaka shume huu
 
Siyo lazima ajue, kwani hata X wake siyo lazima awajue, na wala siyo tija kuwa na urafiki wa kuwasiliana kila siku kama wapenzi kwani huko kutazaa majanga. Sioni haja ya kuwa adui na mtu mliyekuwa marafiki tena wa karibu hadi mapenzi then mnakuwa maadui kisa kuoa na kuolewa, kama mlishindwana ni matokeo ya kimaisha.... Kama kukumbushiana hata wasipikuwa marafiki siku wakikutana tabia lazima ichukue mkondo wake. Au mwenzangu unaonaje????????. Mimi wapo wawili na ni mabest zangu sana kama miaka 6 au 7 na wala sijawahi kufikiria mapenzi tena ila heshima na kuheshimiana ndiyo msingi.
Mabest kihivyo muda tu ndo haujawadia siku yakikukuta majonzi ya kukuchanganya akili watakugegeda kimafungu mpaka utapike
 
Mabest kihivyo muda tu ndo haujawadia siku yakikukuta majonzi ya kukuchanganya akili watakugegeda kimafungu mpaka utapike

Stoooooooooooooooooooooooooop!!!!!!!!!!! I'm a man please. Changia kwa jinsi hiyo.
 
Ukiwa na ex mmoja mara nyingi inakuwa ngumu sana kumsahau ila baada ya kujaza "ki-noah " inakuwa ishu ya kawaida sana.
Kwangu ni rafiki wa kawaida ambaye hata iweje no rematch, itabaki kuwa urafiki tu, ila akiwa na chuki binafsi namuacha kama alivyo.

mimi pia ni one directioner ---> no turning back. tukiachana tumeachana. no rematch, ila tukikutana salamu kama kawa, akijifanya mchuno na mimi mchuno
 
.....namchukulia kama kiporo kinachotakiwa kupashwa joto/moto?:ballchain:
 
Jamani.. kwa hiyo wanawake tu ndo wa kuachwa? na je kama ni mwanaume ukikutana nae umuone kama nani? (acha dharau bwana)
 
hatujawahi kumeet since we broke up though we live in the same environment.
 
Back
Top Bottom