Ucmchukie loôks like ur still into hm/her ku avoid other disapointment km u ar in other relationshp punguza contact nae asije akaku take for granted
Nice lakini mimi siwez kua na aman mume/boifrend akiwa karibu na Ex wake nakua nahisi wanaenda kukumbushana enzi
Ex ni nyumba ndogo nikijisikia napiga mzigo, haijalishi tuliachana vp hata kama tulishikiana visu kuna muda yataisha na mchezo utaendelea hata kama ameshafunga ndoa
me!!!! Unanichukuliaje???????????who??????????
mayala wawili mmekutanauko sawa kabisa!
mayala wawili mmekutana
Yeah hapo sawa,binafsi sinaga makuu ila niliona haujaridhika na fact kua we are not together ntajitahid kukaa mbali nawe maana hauwez kua mtu mzur kwangu ivo ni salamu tu tena tukikutana ila sio ya kusalimiana kila siku asubuhi mchana na jioniSiyo lazima ajue, kwani hata X wake siyo lazima awajue, na wala siyo tija kuwa na urafiki wa kuwasiliana kila siku kama wapenzi kwani huko kutazaa majanga. Sioni haja ya kuwa adui na mtu mliyekuwa marafiki tena wa karibu hadi mapenzi then mnakuwa maadui kisa kuoa na kuolewa, kama mlishindwana ni matokeo ya kimaisha.... Kama kukumbushiana hata wasipikuwa marafiki siku wakikutana tabia lazima ichukue mkondo wake. Au mwenzangu unaonaje????????. Mimi wapo wawili na ni mabest zangu sana kama miaka 6 au 7 na wala sijawahi kufikiria mapenzi tena ila heshima na kuheshimiana ndiyo msingi.
Ex ni nyumba ndogo nikijisikia napiga mzigo, haijalishi tuliachana vp hata kama tulishikiana visu kuna muda yataisha na mchezo utaendelea hata kama ameshafunga ndoa
Mimi siwezi kurudia match na Ex hata kwa bahat mbaya yan hata nkimuona roho haishtuki mayb kwasababu sikuwah kumpenda na hana kitu special cha kunifanya nirud
kenge tu na nashukuru sijawahi kutana nae toka tumemwagana wala kuwasiliana kwa njia
yyt
Mi namchukulia kama mtu wa kumringishia manake toka tumeachana yupo kama kafulia, videmu vyake viwanachuo vinampiga mizinga hata sio vya maendeleo! Anabakia kushangaa hee una mtoto hongera, mara hee umenunua gari hongera! Mi natuuupa kule, ujinga wake mwenyewe kuniacha
Ndo umapt atayekubaliana kuwa nyumba ndogo... mwanamke uliyemwacha na mwenye heshma zake na mwenye mapenzi na mumewe hawezi kubalina na huo ujinga.
naona nivea amependa komenti yako, nadhan huwa anaomba mechi kwa x-boy wake..lolUkiona anakuwa adui kupitiliza ujue ulikuwa humridhishi kwenye idara nyingi na sasa amepata anayemridhisha so lazima akuchukuie kwa kumpotezea muda ila kama ulikuwa unamfikisha vizuri hawezi kukusahau, atakuchukia kwa yote ila atakukumbuka kwenye sekta flani na lazima awe anaomba friend match za hapa na pale