Habari zenu wanajamvi ni matumaini mu wazima kabisa
Nauhakika asilimia kubwa yetu humu tumepitia mahusiano kadhaa kabla ya ndoa(kwa waliooa na kuolewa) na kwa wale ambao hawako katika mahusiano sasa baada ya kukumbwa na mahasibu tofauti tofauti,na kila mtu ana mtazamo tofauti kwa hao ma EX,je wewe unamchukuliaje EX wako?Rafiki yako?Adui?
Binafsi EX hawezi kua rafiki yangu wala adui yangu yan namuweka katika group la mtu wa kawaida tukikutana barabaran ni salamu tu hakuna story zingine(kama n msaarabu lakini) kama ni wale wanaoleta maneno mbovumbovu hakika sitaki hata unisalimie wala kuniuliza kitu na hata kuntext kwa bahati mbaya sitaki kabisaaaa