nilifikisha twin.......jambo mimi dada mkubwa nilimtuma twini wangu FP akusalimie ulizipata salamu
hope hili siyo jungu mdogo wanguFP toka apate ......................... amekuwa msahaulifu sana!
we subiri!
Mara nyingi wanaume huwa tunachukulia kama friend tu,, ila wenzetu ni uadui...tena wakupitiliza....
hope hili siyo jungu mdogo wangu
Hee makubwa haya na polee,ila huyo mchumba wake hajiamin kwakwelX wangu alipofiwa na Mama yake Mzazi mm kwenda msibani MC akatangaza SITAKIWI niwepo!Nikavaa malapa yangu nikaondoka!
Baadaye akani text kuwa mchumba wake mpya hataki niwe sehemu yyt alipo;Nikamuelewa!
Stoooooooooooooooooooooooooop!!!!!!!!!!! I'm a man please. Changia kwa jinsi hiyo.
ha haaa, kama unamfanyia majungu hadi dadako basi huko tulikokupeleka hakufai, lol!jungu tena lile la ally mapilau! na mafiga yake ya chuma!
ehehehheheheh kwanza ulikuwa wapi siku mbili hizi!
mekumiss ujue!oh!
jungu tena lile la ally mapilau! na mafiga yake ya chuma!
ehehehheheheh kwanza ulikuwa wapi siku mbili hizi!
mekumiss ujue!oh!