Yawezekana ukafanya siri baada ya tar 31 ikawa sio siri tena si mbbaya kuwahabalisha wenzao kw muda huu mfupi yawezekana watu wengi wamekula kasa kwa wagombea wetu utakapokuja kutueleza unaempigia na kwa nini unawezabadilisha umati wa watu kwa siku hizi 4
Je, unamchagua nani oct 31?