Unamaoni gani kwa Rais huyu

Unamaoni gani kwa Rais huyu

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,311
29-11-2010-18-11-0_1378677b.jpg

images

news_bMugabe-Sleeping-250.jpg

xmugabe_sleeps_at_conference.jpg.pagespeed.ic.ZvHdBJRjUj.jpg
 
Kaza buti baba...! Kutafakari ni popote..
 
Yumo katika sala za kuliombea Taifa lake a' la captain John Komba bungeni!!
 
Kwangu huyu ni zaidi ya Rais, Kamanda....Namkubali sana kwa misimamo yake
 
Ku..... ke haka kababu kamechoka. Kwanini wasikapindue nako kaishi maisha ya ukimbizi! Nasikia kakipanda kifuani hakaachii kirahisi!?
 
Mke wake alimegwa na gavana wake wa bot yao,bintie aliliwa na watoto wa ki tz huko hong kong.yeye kachoka mno.
 
Kila kitabu na zama zake,uroho wa madaraka umemjaa tu,hajifunzi kwa mwenzie madiba,atafia kwenye ziara za kikazi kama hawatokuwa makini
 
daaah!!mzee amekata ringi sasaa,aachie kitii japo ni mmoja kati ya simba wa africa aliebaki,asije kufia kwenye kiti akapumzike....
 
Back
Top Bottom