Unalikumbuka kundi hili swv

Unalikumbuka kundi hili swv

mmmmm!!!!! Kweli wewe uko mbaliiiii

Ninayo original version ya hiyo album ya Crazy Sexy Cool, ina kitabu cha lyrics ndani yake. Iko bomba sana. Sijajua kwa nini makundi mengi ya wakati huo hayajadumu. Talking of 702, TLC, Xscape, Fugees n.k.
 
Back
Top Bottom