The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,446
- 10,237
Wakuu Salaam:
Unakumbuka hili Game?
Uliwahi licheza?
Tupe mbili tatu.
Unakumbuka hili Game?
Uliwahi licheza?
Tupe mbili tatu.
Wew ushafikia hadi hatua ya mwishoHii game ilikuwa imewekwa kwenye computer, kama computer game ambapo mcheza draft upande moja anachezqa na computer upande wa pili , ukisogeza kete tu na computer inasogeza kete sasa kila ukifunga huyo dada wa pemebeni anafunua nguo kiasi fulani , ukiendelea kuishinda computer basi huyo dada anasaula ngua zote anabaki kama alivyozaliwa.
Ahahh..ila hatua ya mwisho inakua mbinde sana hadi ushindehili game alikuwa akicheza secretary wetu mmama,siku moja nikamfuma kafika mpaka hatua ya mwisho
Miaka hii bado lipo?Nilikuwa naliona kwenye computer ya ticha koti kitambo kidogo kule mansese
Miaka hii bado lipo?