mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
hujasomeka mkuu.Fetal position is my favorite.
.......... aje?Nalala nnavyolala.
hujasomeka mkuu.
.......... aje?
fetal position ndo ikoje?Sijasomeka kivipi?
halaf nitakuja huko pm kwako. nina kitu kizuri nataka kwambiaKama nilivyolala jana,juzi na leo.
Kuna staili nyingi za kulala.
Sasa wewe unavolala unalalaje? Kifudifudi, chali, kiubavu (kulia au kushoto), unajikunja au unajikunyata?
miguu inakuwa imekutana au imeachana.Huwa nalalia mgongo halafu naweka mto kiunoni, then miguu naweka ukutani!
miguu inakuwa imekutana au imeachana.
halaf nitakuja huko pm kwako. nina kitu kizuri nataka kwambia
halaf nitakuja huko pm kwako. nina kitu kizuri nataka kwambia
mkuu pole kwa ban.Nalala kichwa chini miguu juu!