Unakuwaje mwanaume bila ku 'cheat'?

Unakuwaje mwanaume bila ku 'cheat'?

Mwanaume wa kweli!
Hawezi Fanya upuuzi wa aina hiyo!
Huwa
-Anaridhika na wakwake
-Anampendezesha aliye naye
-Hataman taman ovyo!
-Nidhamu kwa MTU wake na wanawake kwa ujumla
-Ana mcha MUNGU
-Anapambana kukuza familia na kipato chake!!

But walee vijana na wategemea shemeji na wale ambao hawajakamilika uanaume ndipo sifa za hapo juu huwa kinyume chake
-haridhiki na wanawake
-hawezi kumpendezesha MTU wake
-huwa wanatamani tamani ovyo tenaa ufikia hatua yakutaman wake zote wawe wake
-kumcha MUNGU huwa hakuna coz anaenda kinyume na agizo LA MUNGU(usizini)
-hamuheshimu mwanamke
-hana akili ya kujiongeza huwa anawza wanawake, na starehe na hata akipata pesa yotee uishia huko

Natumaini mleta mada na wale mnaoaccept upuuzi wa huyu! Mshaeleweka mpo kundi gani
 
Ivi maana halisi ya uanaume siku izi ipo kwenye usaliti....Boyaa ww
 
Wachezaj n wachache sana
Wengi wao n wasindikizaj
Laiti wange waheshimu watu wao wangekuwa wa maana, utakuta mtu anavyojitutumua halafu michepuko inavyomwadidhia aibu tu jamani
 
IMG-20180313-WA0004.jpg
 
Ila mada zingine hata Mungu hapendi.
Kusudi hapa ni lipi? Kumfanya asiyechepuka ajione kuwa anakosea kwa kutulia kwake kwa mke wake? Acha kupotosha. Mwombe Mungu akuondolee hiyo roho na sio kuwavuta wengine waingie upotevuni
 
[emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Utetezi bora kuliko wote kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa Jf.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hhahahahaaa dah... we jamaa umenichekesha sana wallah...
 
Lizikeni na wake zenu

Rizika na kile ulichonacho

Kwani ugwadu hautoi

Teh
Kuna mrembo nishawahi kukutana naye kipindi kile wifi yako ananisumbua. Ni kasema potelea mbali acha nijitoe muhanga km wapiganaji wa ISIS
Mtoto alikuwa mwembamba mrefu, mweupe na flat sceen hapa ndiyo ugonjwa wangu uliopo. Nikachonga na mzinga kbsa.
"Mke mmoja analemaza akili''
 
Wanaume wengi wanaocheat huwa ndani hawatimizii wake zao tendo la ndoa. Halafu wanazusha vurumai ili mama asimbughudhi kuomba tendo. On average mwanaume wa kawaida ,siongelei sex maniac, anafanya sex mara NNE kwa wiki. Ukienda kwa mchepuko ukafanya round mbili jioni ukija kwa mkeo unamuona kama dada yako.,huna hamu na tendo . ni fallacy kudhani kuwa unaweza kuwatimizia sex wanawke 4 tendo LA ndoa ,haiwezekani. Oversex INA madhara kwa Afya yako ukifika uzeeni. Kuvimba tezi dume (benign prostate hypertrophy) ila sio cancer lakini tiba ni operation. Sema tu mkioana vijana wawili miaka umri unakaribiana mwanamke akifika 50 years akaingia menopause hamu ya sex kwake inapungua sana . hiyo ndiyo sababu ndoa nyingi huvunjika at 50's. .Lakini mkiwa vijana ukawa na umeoa wake wanne huwatosheezi sex. Sana utawashibisha chakula kama ni tajiri lakini tendo lile utasaidwa tu. Duniani ni ubatili ,self control kwa mwili wakati mwingine ni busara . Unaposikia humu J F MTU anajisifia eti amepiga round tano basi ujue alikuwa na siku nyingi hajapata sex, lakini unaye au unao ndani ke round tano unadanganya na kukoleza soga humu. Sex maniac jiandae kutembea mgongo umeinama uzeeni au kuziba mkojo kwa ugojwa huo wa BPH maana unaioverwork prostate gland kwa kuproduce semen nyingi kila mshindo unapozitoa .Uamuzi ni wako chagua maisha na hatima yako. Unajua kuna watu hawajui kutafsiri takwimu ,akisikia wana wake ni wengi kuliko wanaume ,kumbe me ni 23 mil. na ke ni 24 mil. Sasa huo uwiano kwa hesabu za kwaida tu, zinahalalisha kuoa wake2,3au 4..Naomba nimalize kwa kusema siingilii imani ya MTU. Ila waliotuletea imani kwao ndoa za mitala hazipo,tena wanaoana ndugu ili Mali isiende mbali.
 
ku-cheat ni maamuzi! hakuna bahati mbaya..
ila kutoku-cheat hakukupunguzii uanaume wako kamwe!
 
hakika!
 
Hii ni hulka yetu wanaume, it's nature and nature has no medicine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom