Unakuwaje mwanaume bila ku 'cheat'?

Unakuwaje mwanaume bila ku 'cheat'?

Kwa watoto wakali wa siku hizi unaanzaje kuwa mwanaume bila kucheat ,

Unakuta una demu mkali lakini uko barabarani unakutana na demu mkali kuzidi demu wako,

Full kujibebisha, hivyo vinguo wanavyovaa sasa,Nyuma kishundu siyo haba unaanzaje kumuacha demu kama huyu .


Kila leo watoto wakali wanazidi kuzaliwa mpaka unajiuliza hivi kule kwenye uumbaji wanatumia Update ya Vision ngapi maana hivyo vyuma vinavyokuja siyo mchezo..!


Unaanzaje kuwa mwanaume Bila kucheat kwa wakati huu.?View attachment 714321
Mkuu ulimaanisha version?
Btw cheating muhimu kwa ustawi wa mahusiano
 
Kucheat na uwezo wenyewe muwe nao sio mtu anaenda kujiabisha tu huko, utasikia nakula tu hela yake ananipaka uchafu tu nampa pole mkewe, basi wewe akijibebisha bichwa kubwa kumbe unachunwa tu
 
Kucheat na uwezo wenyewe muwe nao sio mtu anaenda kujiabisha tu huko, utasikia nakula tu hela yake ananipaka uchafu tu nampa pole mkewe, basi wewe akijibebisha bichwa kubwa kumbe unachunwa tu
Wachezaj n wachache sana
Wengi wao n wasindikizaj
 
Tatizo hizi dini zetu za Ukristo zimefanya wake zetu wawe na kiburi na wivu na kuondoa uasili wa mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja...
kwani hiyo dini imekudhikia panga ..hujioni kama umekuwa mtumwa kwaajili ykufuata maandiko wakati hata hao waandishi huwajui
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo wajidanganya hivyo[emoji49] anyways kila mtu ajue anavyojua.
mmaaa yaelekea kwa viben 10 beki hazikabi ..maana sio kwa experience yako hiyo
 
kpnd nlipokuwa kwenye late 10 na early twenty kiumri nilikuwa natamani tamani figure tofauti, kwa ss nko specific tamaa za kivulana vulana zimeisha labda experience nilioipata imenisaidia, anaecheat aendelee tu.. experience atakayopata itamsaidia huko mbele.
 
mmaaa yaelekea kwa viben 10 beki hazikabi ..maana sio kwa experience yako hiyo
Halafu huwezi amini Mimi na vibenten mbalimbali sitaki hata kuvisikia, keyboard 😉
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom