Unakumbuka wimbo wako wa shule?

Unakumbuka wimbo wako wa shule?

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,111
Hello wapendwa

Ni siku nyiiiingi sana sijaingia hapa! kwanza kabisa Happy new yearleo nimeamua kukumbuka nyimbo za shule nilizosoma na ziliacha mpact gani kwangu.

1. Moshi Sekondarindio shule yetu nembo yetu hii ndio nguzo yetu ongoza vema na pia angaza ee Mwenyezi Mungu tuongozee.Tushirikiane na walimu wetu (mengine nimesahau)

Naupenda tuu naamini ilinisaidia Mungu akaniongoza na sijui kama kuna ex student wa Old moshi mwenye kashfa ya ufisadi (ready to be corrected)

Nawasalimu


Smiling Saint am back
 
Lucas labda umerudi na sisi tutarejea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom