Unakumbuka wapi?

Unakumbuka wapi?

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
kwa mfano ukasikia hii nyimbo wapi inakukumbusha?

chama chetu chamapinduzi cha jenga nchi
chama chetu chama pinduzi cha jenga nchi

Nyerere aaaaaaaaaaaaaaaaah karume wajenga nchi
Kawawa aaaaaaaaaaaaah Titi wajenga nchi


kitambo sana,nikiwa na shati yangu ya kijani,kaptura ya kaki,chini mchunga peku,daftari mkononi naelekea kuliko shule.

mwenzangu nini wakumbuka?
 
Daa nakumbuka long time sana,RTD enzi hizo nipo primary xul nakata nyanga darasa la tatu maeneo ya ubungo kisiwani na kipindi hicho ilikua alusi mabele na loketo tu na kina bozi boziana.
 
Dah ebwana enzi hizo nikikumbuka yaani nilikua bonge la ***** enzi za mshikamano kwanza unakesha ktk tawi na asubuhi mwana kwa mguu mpaka jangwani
 
dah!kiukweli nahisi nilikuwa mama nyaaaa!yani najifunza kutembelea vitu.
 
Daaa mwanangu kitambo sana hiyo nakumbuka enzi hizo nasoma primary nilikuwa mmoja kati ya vijana wa halaiki nilikuwa upande kupiga ngoma na kuruka sarakasi.

Now sitaki kabisa kuusikia kabisaaaa
 
Back
Top Bottom