Sawa, hata kwa relative? Nilisoma boarding school middle 90's tulikuwa pia tunawekea hizi movie
Msemo nakukumbuka lkn video sina hakika kama nimewahi kuionaMkuu nimekulia uswekeni huko madongo kuinama hata TV tulikuwa hatuzijui labda ubahatike kusafiri utaona kwenye gari. Tena umenikumbusha kitu [emoji23][emoji23][emoji23] siku ya kwanza kuona video niliona kile kichekesho mdada mwenye chura anatembea anatingisha vijana wanahesabu hamsini, hamsini, mia [emoji85][emoji85][emoji85] sijui kama kuna mhenga mwenzangu amewahi kuona hii
Hahahahahahah jirani na Police Central[emoji23][emoji23]Kiparaaa haha haha Maua Bar mboka
Haha walikuwa wanaangalia chura mwingine anajigonga kwenye mti, mwingine alikuwa anapaka rangi nyumba kaishia kumpaka mwenzie kisa chura[emoji23][emoji23][emoji23]Msemo nakukumbuka lkn video sina hakika kama nimewahi kuiona
Sawa, hata kwa relative? Nilisoma boarding school middle 90's tulikuwa pia tunawekea hizi movie
Nimekupata mkuuUkikulia mjini una assume wote wamekulia mjini.
Mkuu wengine hiyo 90s tulikuwa maeneo ambayo hakukuwa hata na Umeme, kwa hiyo kumwona Anorld lazima ulipie.
Muhenga unaniangusha, wahenga wenzio kula mweusi kwenye muvi ni MNIGABill duke Predator
Usinikumbushe mshkaji wetu kitaa faza wake alitoka front akaja na video basi mamaa kila wakati anatembea na kanda ya vhs ili mjue home kuna kideo it was 1989TV zilikuwepo lkn ili uone movie lazima uwe na VHS maana broadcast Ilikuwa tvz na sattellite network wkt huo ni anasa yani karibia 2 milioni mwishoni mwa miaka ya themanini.
Kasie umeenda chaka hiyo ni predator aka ANOD NA JINIWeren't huyo ni mnyamwezi mwenyewee..
Movie ya Comando John sijui title yake ila alikuwa anamfatilia mtoto wake Jane aliyetekwa.
Nakikumbuka hicho, bahati mbaya wahusika wa hicho kichekesho wengi ni marehemu, kama sikosei ni mzee majuto, mwanachia, na mzee small ila yule dada kwenye chura sikuwahi kumjuaMkuu nimekulia uswekeni huko madongo kuinama hata TV tulikuwa hatuzijui labda ubahatike kusafiri utaona kwenye gari. Tena umenikumbusha kitu [emoji23][emoji23][emoji23] siku ya kwanza kuona video niliona kile kichekesho mdada mwenye chura anatembea anatingisha vijana wanahesabu hamsini, hamsini, mia [emoji85][emoji85][emoji85] sijui kama kuna mhenga mwenzangu amewahi kuona hii
Kasie umeenda chaka hiyo ni predator aka ANOD NA JINI
I checked this scene when i was 5yrz old and got traumatized to this day!
Poor car salesman was trying to sell to Bill Duke and got killed!
Bill Duke is forever a legend...Such a powerful scene:
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi siwakumbuki hata sura zao maana niliona nikiwa mdogo sanaNakikumbuka hicho, bahati mbaya wahusika wa hicho kichekesho wengi ni marehemu, kama sikosei ni mzee majuto, mwanachia, na mzee small ila yule dada kwenye chura sikuwahi kumjua
OkKwani huyo mnyamwezi hapo ame act movie moja tuu? Mie nilimuona kwenye Hiyo movie ya commando John.
nguvu huyo mnyamwezi ndo nilimaanisha nilimuona kwenye hii video ya commando.
Duh nakumbuka enzi hizo nilikua naishi Engosheraton nilikua bado kidi sanaMkuu nimekulia uswekeni huko madongo kuinama hata TV tulikuwa hatuzijui labda ubahatike kusafiri utaona kwenye gari. Tena umenikumbusha kitu [emoji23][emoji23][emoji23] siku ya kwanza kuona video niliona kile kichekesho mdada mwenye chura anatembea anatingisha vijana wanahesabu hamsini, hamsini, mia [emoji85][emoji85][emoji85] sijui kama kuna mhenga mwenzangu amewahi kuona hii