Unakumbuka salamu ya MAMBO na majibu yake?

Unakumbuka salamu ya MAMBO na majibu yake?

Hahahaaa nilivokuaga kachalii kadogo.. Ilikuwa msichana akiniambia mambo nahisi amenipenda... Ko na mimi hiyo salamu nilikuwa naiogopa sana hata kumsalimia mtu.
 
Duuuh mie huyo enzi hizo niko mafundisho ya kipaimara,utantaka??? Kijana akisogea tu...mambo???? kwa yesu,fashion kuokoka,ujanja kuingia mbinguni....naongea bila breki.Chaa nimekumbuka mbali.

Vp siku hizi? Najua umelegeza msimamo
 
Back
Top Bottom