Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Habari wakuu!
Kiswahili ni lugha inakuwa kwa kasi sana,toka nimepata akili nimekutana na maneno mapya ya lugha hii mengi na mengine yamekuwa mapya kwangu,yapo maneno yamezaliwa nikiwa nashuhudia na yapo yaliyozaliwa nikiwa bado mdogo.
Leo nimeona sio vibaya tukikumbushana maneno hayo kwa kuanzia na salamu ya "MAMBO" ilivyokuwa kwa kasi....kwa miongo kadhaa.
"Mfano"hapo zamani ulikuwa ukimwambia kijana aiissee..mambo vipi"?jibu lilikua.."Safi" ila kwa sasa majibu ya salaam hii yamekuwa mengi sana kutegemea na maeneo mtu anapotoka,si vibaya tukumbushane majibu ya salamu hii yalipoanzia na yalipofika mpaka sasa.
Nitaanza kwa mifano miwili na wengine tutafanya mwendelezo kwa kila atakayekumbuka viitikio vya salamu hii maarufu kwa vijana na wazee kwa miaka hii.
Ilianza enzi hizo Mambo----Safiiiii
Mambo---Poa
Mambo---Fresh
Mambo---shega
Tutiririke kuanzia hapa salamu hii ilivyokua mpaka sasa na misemo mingine ya kiswahili iliyozaliwa na kupotea.