Unakumbuka nini ukiona vitu hivi?

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
278,618
1,128,582
Nakumbuka enzi hizo home nikifanya kosa tu mwiko au ndala vilitumika kama fimbo ya kunichapia. Wewe je?
images(25).jpg
IMG_20170514_193649.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yani nimekumbuka enzi hizo nikifanya kosa basi natafuta hivyo vyote navificha ili nisipigwe ila ilikua haisaidii mama alikua akivikosa ananifinya mapajani
 
Huo ufagio nakumbuka shule ya msingi mpaka narudi basi fagio linakuwa kubwa Sana.
 
Ufagio nilikuwa nafagilia nje ya nyumba yetu kijijini...

Mwiko nilikuwa nasongea ugali....

Ndala nilikuwa navaa wakati wa kuoga na kuingilia toilet...

Mkanda nilikuwa najifunga kiunoni kwenye suruali yangu...
 
Me baba alikua anapenda kunichapa na fagio tena kule kulaiiini kwa kufagilia hata haliumi, lkn ntalia kutwa iyo cku, subr anishike mama anapga na fagio kule kwa kushikia au ndala, inauma balaa bac nanyamaza kimyaaa. Baba alitudekeza sana but he went too young. RIP Daddy,
Love you Mama.
 
Ufagio nakumbuka napenda kufagia siku ya pili baada ya kunyoshea mvua ardhi inakua mbichi mbichi panasafika vizuriiii Na hamna vumbi
 
Ufagio unanikumbusha shule ya msingi kufagia eneo lako. Nilipata bahati mwanafunzi mmoja maeneo yetu yalikuwa jiran jirani akaniambia mie nitakuwa nakufagilia na kwako huna sababu ya kuja mapema nikabaki na tabasamu tu. Wiki ya kwanza nikawa na wasiwasi anaweza asifagie eneo langu nikawa bado nafika muda ule ule. Akaniuliza mbona bado unawahi si nimekwambia nitakuwa nakufagilia kila siku. Nikaongeza 1 hour ya kufika shuleni. Baadaye tulipoingia madarasa ya juu maeneo yetu yakawa mbali mbali. Akaniambia kule kwako mbali siwezi tena kuja kukufagilia. Ikabidi nianze kuwahi tena
 
Ufagio unanikumbusha shule ya msingi kufagia eneo lako. Nilipata bahati mwanafunzi mmoja maeneo yetu yalikuwa jiran jirani akaniambia mie nitakuwa nakufagilia na kwako huna sababu ya kuja mapema nikabaki na tabasamu tu. Wiki ya kwanza nikawa na wasiwasi anaweza asifagie eneo langu nikawa bado nafika muda ule ule. Akaniuliza mbona bado unawahi si nimekwambia nitakuwa nakufagilia kila siku. Nikaongeza 1 hour ya kufika shuleni.
Mkuu fafanua huo usiano na jirani si kwa kukufagilia huko.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Me baba alikua anapenda kunichapa na fagio tena kule kulaiiini kwa kufagilia hata haliumi, lkn ntalia kutwa iyo cku, subr anishike mama anapga na fagio kule kwa kushikia au ndala, inauma balaa bac nanyamaza kimyaaa. Baba alitudekeza sana but he went too young. RIP Daddy,
Love you Mama.
Pole sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Watoto wa MUJINI wanasema alinitunuku halafu namkumbuka majina yote hadi hii leo.
Mimi nilipata bahati, prefect alikuwa anatoka na kaka mkubwa, basi si unajua wifi tena, ninashikiwa number, nikifika ananiambia wewe namba 19, sijui hata yuko wapi yule dada.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana. Pamoja na hayo you still love and appreciate your parents.

Me baba alikua anapenda kunichapa na fagio tena kule kulaiiini kwa kufagilia hata haliumi, lkn ntalia kutwa iyo cku, subr anishike mama anapga na fagio kule kwa kushikia au ndala, inauma balaa bac nanyamaza kimyaaa. Baba alitudekeza sana but he went too young. RIP Daddy,
Love you Mama.
 
Mie wakuda wakadhani namlipa pesa yule dada au nimemlazimisha. Wakataka kujua kwanini ananifagilia akawajibu "mimi mwenyewe ndiyo nimetaka kumfagilia eneo lake"

Mimi nilipata bahati, prefect alikuwa anatoka na kaka mkubwa, basi si unajua wifi tena, ninashikiwa number, nikifika ananiambia wewe namba 19, sijui hata yuko wapi yule dada.
 
Mie wakuda wakadhani namlipa pesa yule dada au nimemlazimisha. Wakataka kujua kwanini ananifagilia akawajibu "mimi mwenyewe ndiyo nimetaka kumfagilia eneo lake"
Mmh, hiyo tuliita ngekewa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom