Unakumbuka nini kuhusu hawa jamaa?

Unakumbuka nini kuhusu hawa jamaa?

1.Extra..Rogaroga,Fred Benjamin Ni moooto.
2.Defao alikuja bongo akakutana na mabingwa wa kuzibua akawa hoi bin taaban.
3.BCBG..Jb Mpiana,Alan Mpera,Braise bura nk ni motooo
4.Madilu alichukua nafasi Franco vizuri..alale anapostahili
5.Awilo kipindi kile anapiga drums mpaka leo amekuwa mwanamuziki kamili bado anakimbiza...
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana yaani "time immemorial" enzi ambazo muziki ulikuwa mziki.... hongera sana kwa kunitendea haki kwa thread nzuri muda huu.
 
hii ni miziki isiyokuwa na wabana pua na kutengenezewa mirindimo kwenye studio za miziki. wakipiga live sauti na vyombo vinatoka kama walivyorekodi.siyo kuruka ruka na kushika shika nyeti wakiwa jukwaani kwa hawa wa kizazi kipya.

bahati mbaya albums zao za siku hizi hatuzisikii maana ndiyo hivyo tena tunajua nani wamejaa kwenye radio fms na tvs.
 
Ha ha ha ha! Long tym...enzi hizo nilikuwa nacheza shoo kwenye maharusi na sherehe nyimbo hizi. Huo wimbo wa Wenge BCBG ulinipatia pesa kutoka kwa mkuu wa wilaya...1996 hiyo.
 
cassette karibia zote ninazo ningekua najua kupost picha ningewawekea karibia zote
 
Nakumbuka zaman nikiwa la pili ilikua unapikwa wali na maharage then inawekwa kanda yao tunashindana kucheza ili upewe ubwabwa maharage
 
Mi nimekumbuka tazara disco vumbi ,yaani unatoka home smart,ukiludi home unajikataa kama ni wewe vumbi tupu,halafu dancing floor ilikua ni karo la mav,asee we joseph hivi lile karo siku lingetumbuka ingekuaje
 
Mi nimekumbuka tazara disco vumbi ,yaani unatoka home smart,ukiludi home unajikataa kama ni wewe vumbi tupu,halafu dancing floor ilikua ni karo la mav,asee we joseph hivi lile karo siku lingetumbuka ingekuaje

haaa haaa haaaa! Josee le big bosse.

Hawa watu wangefanya reminisce ya Tazara wangepiga mpunga wa nguvu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom