Unakumbuka nini kuhusu hawa jamaa?

Unakumbuka nini kuhusu hawa jamaa?

Aiseee umenikumbusha kitambo sanaaa

Yondo sister
Bozi boziana
Mbilia belly
Tabu rey
Awilo longomba
Diblo dibala
 
1.Extra..Rogaroga,Fred Benjamin Ni moooto.
2.Defao alikuja bongo akakutana na mabingwa wa kuzibua akawa hoi bin taaban.
3.BCBG..Jb Mpiana,Alan Mpera,Braise bura nk ni motooo
4.Madilu alichukua nafasi Franco vizuri..alale anapostahili
5.Awilo kipindi kile anapiga drums mpaka leo amekuwa mwanamuziki kamili bado anakimbiza...


Hahaaaa nimeikubali hiyo ya Defao, kumbe kipaji kimefia Bongo?? Mzee wa ATC ni noma sana,
 
nakumbuka nikiwa nasafiri toka Iringa kwenda Mbeya kumsalimia bibi likizo ya mwezi wa december nyimbo zilikuwa zinapigwa ndani ya mabasi ya Nyatco, da! Wenge bcbg na kaskin
 
Namkumbuka DEFAO, ALIPOKUJA DAR HAPA ALICHEZA HADI KUVUA SHATI LAKE JUKWAANI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom