Unakumbuka muziki gani wa zamani?

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,415
4,691
Habari za saa hizi wanajamvi...nimeona sio vibaya jumamosi ya leo tukumbushane muziki wa zamani ambao ulipata kusumbua au kuwika enzi hizo uwe wa hapa nchini au nje ya nchi ilimradi uwe wa zamani ili tuweze kurudisha hisia zetu nyuma kukumbuka au kukumbushana yaliowahi kutokea enzi hizo....

kwa kuanza mimi nakumbuka wimbo wa Tx moshi william "ashibae"alioimba enzi hizo akiwa na juwata...
Je wewe mwanajamvi unakumbuka muziki gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom