Point of No Return 19
Senior Member
- Jul 2, 2023
- 194
- 463
Hellow lovers,
Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi?
Ilikuaje?
Tuambie tujifunze.
Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi?
Ilikuaje?
Tuambie tujifunze.
Mkuu naomb niku PM.Nilikopa ofisini tshs 10m... wife was jobless... akaomba msaada kwa baba yake.. kipindi bado akiwa ni mchumba wala hatujaoana.. akapewa 2m... tukachanganya ikafika 12m.. idea was a hardware shop... dahh.. kwa wanaojua hii biashara 12m ni kama takataka... wayback 2014 hiyo.. lakini nashukuru Mungu biashara ikakua.. wife alikua well discplined, mpaka sasa since 2014, mwaka huu biashara inafikisha 10 years.. tulikuja kuoana baadae tumejaaliwa watoto wawili, na maisha yanasonga... from time to time huwa nakaa dukani, na ikitokea siku kibarua kimeota nyasi / nikifika umri wa kustaafu ntajishikiza hapo.... yote kwa Yote tunasema Alhamdullilahh
It was so hard! Hakiba ya kila mwezi na kujinyima sana!Hellow lovers
Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi ??
Ilikuaje ??
Tuambie tujifunze
Uharamu wa riba uko wapiMabonde na mapigano na ndugu juu ya urithi wa mshua ila mwisho nikashinda na kuipata hela yangu ya urithi
Huyoooo kwenye bussiness ila napitia joto ya jiwe kwa yanayonikuta ila najua nitafika .
Kuna muda nahisi ni kweli riba ni haramu.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Unafanya biashara ya kausha damu??Mabonde na mapigano na ndugu juu ya urithi wa mshua ila mwisho nikashinda na kuipata hela yangu ya urithi
Huyoooo kwenye bussiness ila napitia joto ya jiwe kwa yanayonikuta ila najua nitafika .
Kuna muda nahisi ni kweli riba ni haramu.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mtumishi komenti yangu ipite taratibu maana mimi sio wa upande wenu niko kwingine hivyo naongelea imani yangu sio yenu ninyi manabiiUharamu wa riba uko wapi
Una uhitaji wa hela ya ada ya wanao ?Unafanya biashara ya kausha damu??
MaashaAllahNilikopa ofisini tshs 10m... wife was jobless... akaomba msaada kwa baba yake.. kipindi bado akiwa ni mchumba wala hatujaoana.. akapewa 2m... tukachanganya ikafika 12m.. idea was a hardware shop... dahh.. kwa wanaojua hii biashara 12m ni kama takataka... wayback 2014 hiyo.. lakini nashukuru Mungu biashara ikakua.. wife alikua well discplined, mpaka sasa since 2014, mwaka huu biashara inafikisha 10 years.. tulikuja kuoana baadae tumejaaliwa watoto wawili, na maisha yanasonga... from time to time huwa nakaa dukani, na ikitokea siku kibarua kimeota nyasi / nikifika umri wa kustaafu ntajishikiza hapo.... yote kwa Yote tunasema Alhamdullilahh
Swala la mtaji ni changamoto kubwa sana.Hellow lovers,
Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi?
Ilikuaje?
Tuambie tujifunze.
Naweza kuja PM mkuu?Nilikopa ofisini tshs 10m... wife was jobless... akaomba msaada kwa baba yake.. kipindi bado akiwa ni mchumba wala hatujaoana.. akapewa 2m... tukachanganya ikafika 12m.. idea was a hardware shop... dahh.. kwa wanaojua hii biashara 12m ni kama takataka... wayback 2014 hiyo.. lakini nashukuru Mungu biashara ikakua.. wife alikua well discplined, mpaka sasa since 2014, mwaka huu biashara inafikisha 10 years.. tulikuja kuoana baadae tumejaaliwa watoto wawili, na maisha yanasonga... from time to time huwa nakaa dukani, na ikitokea siku kibarua kimeota nyasi / nikifika umri wa kustaafu ntajishikiza hapo.... yote kwa Yote tunasema Alhamdullilahh