Mie namkumbuka Kim&Boyz kwenye Yo Rap Bonanza,pia nakumbuka Tulipokua tunaenda kuchukua watoto magoti.
....Wote tisa 10 alikuwa ni DJ Kalikali pale Mbowe huyu alikuwa akiamua kupanga mawe halafu kishapata safari mbili au tatu kichwani basi utasuuzika na roho yako. RIP Kalikali
Hivi Dj john delinga makloo kapotelea wapi! Yaani alikuwa akijitaja tu hilo jina lake mi nasuuzika kabla ya mziki wenyewe!
BAK best wangu, hebu jitaje enzi zako ulikuwa unaitwa dj nani! Manake hujambo baba!
John Peter Pantalakis, Choggy Slay; Dj Rusual; Dry Dock DiscoTech, Silver Sand Team.dj chalz....dj venture.....bonny luv....na wengine wengi.....
mkubwa BAK nimekukubali...huyo ulie mtaja alikuwa moto wa kuotea mbali....dah...wakati umeenda sana enzi hizo ulikuwa unaomba usiku usiishe!
Best King'asti hahahahah lol! mie nyimbo nyingi kwanza kabisa nimezijulia kupitia wazazi maana nao ni wapenzi wakubwa wa muziki na katika kujirusha rusha katika viwanja mbali mbali vya starehe, lakini ukweli ni kwamba BAK hajawahi kuwa DJ ila Best ukiwa na kashughuli kanahitaji DJ basi usipate shida wala sikuchaji kitu ...mie na weye dam dam