Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 249
Yes!Yes!....
****natumai mumejibu yap! yap! hifyo ndifyo tunatharimianaga tukiwa kambi huko kwetu njenoro shaina*****.
Sasa, kuna hii kijana kimoja kirikuwa kinaitwo mamishe. kirikuwa kunajifanya kwetu sana ati gwasababu warikuwa na hurubaro (wheelbarrow) mupya na sisi hatukuwa nayo. Kira siku tukieda marisoni nakyo kinakuja na hiyo hurubaro na kinakataa kutupatia tubebana nayo ati mbaka tukiripe siringi. Kira musisana hata Wangari Sendeo arikua tu anataka kuongea na Mamishe gwasabau ya hiyo hurubaro. Hai, tukaona hapa rasima tukuwe wajaja.
Hiyo jioni ya jumamwothi, kurikuwa na ngwataniro(village church meeting) ya kijiji kia gachuiro kwetu. sasa wasee na wamama wooote wa kanitha warikuwa wamejaa kwetu.Huku Njesu agitawara kwetu, nasisi tukiwa marisoni, ndaimono arikuwa anatufatia ma~ideas sa vile mamishe angeisha ndio tuedese hurubaro yake.
Saa tisa hifi nikaeda nikandanganya Mamishe..'Mamise...kwa ire shoo ya ure kuria wa nduka, kumeanguka njirongo (siringi mia tano) na watu wemisidwa kuingia. majamaa sanguni sijawai kuona mutu amefurahi nyamna hiyo.Akaasanisa hurubaro na gutoka mbio kama musale.
Baada ya ndikika sinatosana hifi, ndio huyo mamise agatokesea na kijiko ire kubwa (spade) na huma na kaba (rope) na kuerekea kwenye shoo hiyo ya kuria. Nasisi mara hiyo hiyo tugasukua hurubaro na kuaja kuendesa. Washa mamishe aaje kushimba simo kado ya shoo..washa ashibe..mara moja agafungiria kaba kwa gitingi na akajifunga njohero (waist) na kuaja kusuka. huku agisuka, na sisi na Sendeo turikuwa tunatoa tu jaso ni kubebana na kendesa hurubaro.
Kufucia nyamna hii tukasikia nduru ..uuuiiii..uuuiii..jini majini...shoo yangu inaongea..uuuuiiii mwathani! na watu wamesingira hiyo kioro ya kuria. Tugakibia. Kube ni bibi ya kuria arikuja gukojoa nayeye mamise akiwa sini akamuabia..tafadhali nakuona usinikojolee!...watu wakamutoa na kumuhoji kidogo. Arikuwa na mififi kwa miguu yake hadi kwa magoti..Agasema ati ni musatha ariniambiang'e nye' ny'e nyukwa! Nkt..watu wakanirukia nikaferekwa nyubani wengine wakinipiga na safai kwa miguu (stinging nettle).
Kufika nyubani tukafata watu wakiiba wibo ya muiso waombe. mama akanirukia agasikwo ni wasee akaambiwo ati ni saitani ananisubua na inataka maobi. ngaambiwa nifuje magoti hapo mbere yao na niaje kujiobea. Hata ware watu warinireta wakaambiwo wainue mikono kama wameniangarisia..ikaaja hifi:
MUOBI: Njehova tumekuja mbere yako.
WENGINE + MUSATHA:ii niguo baba.(ndio baba)
MUOBI: tukireta kijana hii musatha tukioba umubadilise

MUOBI:amekuwa mukora sana na niyeye anafuza watoto wetu tabia baya baba
********hapo ngaona iko sida..ngaona jibu yangu baka i change*****
WENGINE : Niguo baba ( Ndio baba)
MUSATHA (na nguvu) : ni maheni baba (ni uwongo baba)
************WATU WOOOOOTE WAGASEKA*******
Asandi ni musuri kujitetea