Kiongozi sikufahamu kumbe ameshafika huko!Huyu jamaa saivi sembe imemmaliza kabisa
Mimi nilibahatika kwa mara ya kwanza mwaka 97Mm kwa mara ya kwanza ilikuwa mwaka 95 ndipo nilipo iona picha hii.
Kama ni hivyo basi tenahii kitu kila zikipita siku mbili nikiiangalia hii muvi naiona kama mpya,ila jamaa yetu ndio hivyo tena teja kwisha kazi
Part 1 niliipenda sana
Vipi bado anacheza comedy au?
Ya kitoto kinatambaa ni ipi hiyo dina