kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Tujikumbushe movie hii ya home alone ki ukweli mimi nilikuwa dogo na ndio ilikuwa movie yangu ya kwanza kwanza nikiingia mjini toka kijijini mbavu zilikuwa zinaniuma tuikumbuke kwa pamoja movie hii

hapa jamaa walikuwa na hasira na dogo haswa huyo tolu walikuwa wanamnyatia

hapa wanacheka kiuwakika wakiamini wamemnasa dogo hahaha...

tolu anakula mateso do kasepa

hahaha hapa fupi alijichanganya vibaya

hapa wamefanikiwa kumkamata dogo wakamtundika kama nyama na dogo akawa mnyonge akakubali matokeo kabla ya kubuni maujanja na kusepa

hapa bila kukosea fupi alipigwa na jiwe kichwani akapoteza network kwa muda kama unavyomuona hahaha..
.
kilichompata tolu hapa hatokaa hasahau yalikuwa maumivu makali sana

hahahahahahaha we dogo si nimekudaka leo nakumaliza

baba na mama wakitafakari baada ya kupotezana na mtoto kwa muda mrefu sana

hapa kuna kitu mama yake dogo aliona nimesahau tukumbushane

kuingiza tu kicha tolu kakutana nayo alitamani kujikojolea na dogo hakufanya kosa.