Unakumbuka hizi game consoles?

Hizi kwetu sisi wahenga tulikua tunawanunulia watoto na tujukuu zetu kuwakip busy huku sie tukitafakari nchi yetu inavyoliwa na kuangamia huku kina laki si pesa,lizabon nk wakishangilia.
 
Da game boy advance ilinipatia sana wachumba hyo naweka super mario bros finding nemo fantastic 4 etc ilikuwa hataree daaa game boy advance siwezi kulisahau.
 
Wow,napnd sna kuona girls wanajua kuhusu games ,mko wachache sana

Sent using Jamii Forums mobile app
My ex alikua anakesha na call of duty modern warfare na 2k17 humwelezi kitu. Sijui kama bado anachezaga since we broke up. It was fun, maan tulikua tunashinda ndani mwendo wa gemu tuu tukichoka ni mwendo wa series kumchek Jack Bauer anavopambana na mbabe Vladimir gredenko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni rare sana kukuta girls wapo interested na games basi ulikuwa na bahati nzuri.
 
Hivi karibuni niliinunua hiyo kwenye foleni. Kuna mtoto akaniganda nikamuachia.

Games ukiziendekeza unakuwa teja. Naziogopa kwa Dhabi. Game ya super Mario ndio ilininasisha kwa paw[emoji13]
Hilo la pili kutoka chini ndo lenyewe,batteries zako tu
Alafu sijawahi kujua yanauzwa wapi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi karibuni niliinunua hiyo kwenye foleni. Kuna mtoto akaniganda nikamuachia.

Games ukiziendekeza unakuwa teja. Naziogopa kwa Dhabi. Game ya super Mario ndio ilininasisha kwa paw[emoji13]



Sent using Jamii Forums mobile app
Uliinunua kwenye foleni?

Game ya super mario ilikunasisha kwa Paw??
Paw huyu huyu tunayemfahamu?😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…