Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],nacheka kama mazuri Ila pole sana Joana .
 
Comment yako imenichekesha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dah! Aisee pole yake huyo binti
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nampenda kweli na tangu aniache anasema alikua ananitania eti [emoji23][emoji23][emoji23] ila ndio nafasi yake haipo tena
Acha kuwa na moyo mgumu. Yan mwenzako katikisa kiberiiti wewe umemwaaga ptrol.

Anyway msamehe
 
😂😂sasa mkuu ulimpiga kwa kosa gani??
Kwani kukuacha ni kosa??😂😂
 
Inauma hio[emoji3]
Unalia kama mbwa ila mwisho wa siku unakubaliana na fact kwamba hakutaki/hakufai kila mtu anastahili kilicho bora,huwezi kuuchosha moyo wako kwa mtu ambae yeye hauchoshi kwa kwake kwa ajili yako.

Kwanza namshukuru sana maana alinitolea kiwingu, angekuwepo nisinge mpata wangu wa ubani [emoji41]
Ila kwa wakati ule niliona kama nakosa figo yangu moja[emoji3]
Mungu akipanga muwe mtakua tu na kama hajapanga tusifosi mambo tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila jambo
 
Labda siku nikipata kiboko yangu nami nitakuja kuhadithia humu lkn naona ugumu kwani kadri navyozidi kuyajua mapenzi ndivyo navyozidi kujilinda nayo.. ni Kama mchezo wa draft.
 
nasikia huwez kupenda mara mbili, uyo jamaa kaondoka na kale kaupande ka unique
 
nasikia huwez kupenda mara mbili, uyo jamaa kaondoka na kale kaupande ka unique
Hakuna kitu kama hicho
Siwezi kuacha kumpenda mwanaume anaenipenda kwa sababu ya mjinga mmoja ambaye hakujua thamani yangu.
Nilichojifunza ni ku-let go
Kwamba hata kama nmempa upendo mtu akitaka kwenda namuacha aende maumivu ntapambana nayo baada ya muda yataisha maisha yataendelea.
Watu ambao hawapendi tena ni ule woga wa kutendwa, kutendwa kupo tu upende usipende muda wa kuachwa ukifika utaachwa tu kama kawaida.
 
Nilimuacha mpenzi wa kwanza alienipenda niwe na ninaempenda kilichonikuta huko....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…