Unakula wakati gani?

Huo ni utaratibu wa kila familia! Ukienda vijijini familia nyingi zinakula mara mbili saa 7 na saa 2 usiku. Sasa Sisi huku mjini familia nyingi mara 3 yaani asubuhi Chai, mchana mlo kamili na usiku saa 1 mlo kamili. Lakini wengi wenye majukumu kujikuta wanakula mara 2 kama akipata chai nzito asubuhi basi ni mpaka saa 12 au 1 jioni. Kwa hulazimishwi na mfumo!
 
Kula milo mitatu ni anasa.
 
Hata uache soda kufa kuko pale pale!
 
Chai saa 1 asubuhi, chakula Cha mchana saa 7 mchana, saa 2 usiku juicy ya matunda mchanganyiko

Nilijaribu kula mara tatu kwa siku, nilijikuta zimeongezeka kilo 15 ndani ya miezi 4

Unene mwingi unakuja kutokana na ulaji
 
Mimi kwa asubuhi nimeji-set auto mode muda wowote nakula ila usiku hata kama saa sita lazima nichezeshe kidevu.

Hakuna kitu naogopa kama kulala njaa!
 
Chai saa 1 asubuhi, chakula Cha mchana saa 7 mchana, saa 2 usiku juicy ya matunda mchanganyiko

Nilijaribu kula mara tatu kwa siku, nilijikuta zimeongezeka kilo 15 ndani ya miezi 4

Unene mwingi unakuja kutokana na ulaji
Sedentary lifestyle haiendani na kula kula hovyo.

Nilijifunza nikiwa form 2 mwaka 2007
 
Sedentary lifestyle haiendani na kula kula hovyo.

Nilijifunza nikiwa form 2 mwaka 2007
Ulaji kwa sehemu kubwa ndiyo unasababisha vitambi Mkuu

Ukiongeza na beer na nyama choma ndiyo unajikuta umekuwa mnene kama FatJoe
 
Ulaji kwa sehemu kubwa ndiyo unasababisha vitambi Mkuu

Ukiongeza na beer na nyama choma ndiyo unajikuta umekuwa mnene kama FatJoe
Kinachosikitisha wakati nilipokuwa sina hela ya uhakika ya kula ndio nilikuwa nakula kula hovyo.
Wakati huu ambao nina uwezo ku afford chakula chochote ndio nakutana na awareness program kibao za kuhimiza kupunguza matumizi ya chakula.
 
Nahisi umri pia unachangia, kutoka miaka 33 hadi 40 hapo mwili unabadirika

Kwahiyo mwili unatunza mafuta hivyo unenne unakuja automatic
 
Nahisi umri pia unachangia, kutoka miaka 33 hadi 40 hapo mwili unabadirika

Kwahiyo mwili unatunza mafuta hivyo unenne unakuja automatic
Nilisoma mahali kwamba kwa umri huo. Mwili unaacha kutengeneza misuli. Kwa hiyo lazima kuchukua hatua za makusudi kuushughulisha ili kuufanya usibweteke na uendelee kuwa active.
 
Nilisoma mahali kwamba kwa umri huo. Mwili unaacha kutengeneza misuli. Kwa hiyo lazima kuchukua hatua za makusudi kuushughulisha ili kuufanya usibweteke na uendelee kuwa active.
Ni sahihi Mkuu, vyema kujiweka sawa mapema
 
Binafsi nakula mara mbili,asubuh uji au chai isiyo na sukari(mchai mchai)+ magimbi au kiporo,chakula cha mchana nakula saa tisa jion, mboga mboga zakutosha hapo nakua nimenaliza,jion ni maji na matunda kias mpaka kesho.

Sinywi Pombe,wala soda au energy drink
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…