allow cp
JF-Expert Member
- Aug 15, 2026
- 1,137
- 3,414
😁😁😁 mie natumie jf ya free bila bandoDuh... mara ya mwisho kuweka bando hata sikumbuki ila nadhani ni kati ya february au march
😁😁😁 mie natumie jf ya free bila bandoDuh... mara ya mwisho kuweka bando hata sikumbuki ila nadhani ni kati ya february au march
Mkuu... the same to me.... till now na miezi zaidi ya 7 sijatumia soda wala chai.... na sasa niko kwenye process ya kupunguza wanga na vyakula vya kukaangaThree meals, no less no more!
Nimeacha kunywa vinywaji baridi vya kusindikwa kwa asilimia 95, so in between meals ni maji ya kunywa(kwa siku zisipungue 2L) na matunda.
Najuvunia hatua hii ya kuacha soda kwa % kubwa, nianze mapambano ya kupunguza wanga walau 50%.
Mara nyingine nawazoesha madogo chakula cha usiku siyo wali/Ugali au ndizi pekee....But nina ratiba yangu binafsi...Viazi vitamu na nyama au samaki, Mihogo ya kukaanga na samaki au nyama na hii nakula mara 4 kwa wiki....Madogo wanajiachia na wali wao😀😀Ukiwa alone au na familia? mkuu
Ratiba ya familia ipo pale pale, Nikiwa job Chai ya saa 4/5 na kipande cha gimbi au kiazi....hiyo ndiyo hadi usiku.Ukiwa alone au na familia? mkuu
Mkuu umeshawahi kufunga kuanzia siku mbili?Kuna muda huwa nakula mara moja kwa siku wakati mwingine mara mbili mara moja moja nakula mara tatu kwa siku pha wakati mwingine sili wala kunywa chochote hapa nakuwa naufanya mwili utii akili kuna muda nakuwa na njaa chakula kinapowekwa mezan nakiagalia tu
yeah nishawah ila ya siku 5 sijawahMkuu umeshawahi kufunga kuanzia siku mbili?
unatakiwa utafte kapani ili uwe na nguvuHongera sana mkuu... niko kwenye process na mimi nianze... vimajaribu vingine havitoki kwa siku moja vinanizingua sana...
Hata sasa hivi unaweza kula mkuu¡