Unakula wakati gani?

Mkuu... the same to me.... till now na miezi zaidi ya 7 sijatumia soda wala chai.... na sasa niko kwenye process ya kupunguza wanga na vyakula vya kukaanga
 
Milo 2, Saa 4 au 5 na Usiku...No soda,Juisi, Chips, No vyakula vya ngano, ugali/wali mara moja kwa wiki Mazoezi kidogo kimtindo....
 
Jamaa yangu anasema haoni faida yyt ile akifa akiwa na afya njema
 
Ukiwa alone au na familia? mkuu
Mara nyingine nawazoesha madogo chakula cha usiku siyo wali/Ugali au ndizi pekee....But nina ratiba yangu binafsi...Viazi vitamu na nyama au samaki, Mihogo ya kukaanga na samaki au nyama na hii nakula mara 4 kwa wiki....Madogo wanajiachia na wali waoπŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna muda huwa nakula mara moja kwa siku wakati mwingine mara mbili mara moja moja nakula mara tatu kwa siku pha wakati mwingine sili wala kunywa chochote hapa nakuwa naufanya mwili utii akili kuna muda nakuwa na njaa chakula kinapowekwa mezan nakiagalia tu
 
Mkuu umeshawahi kufunga kuanzia siku mbili?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…