St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Sasa mie ugali nala na uma na kisu kama natalia. Nitahesabu trips za uma ama?
Na yule mwingine mayenu sijui mayemo umeshatupa,
vibaya hivyo au umeshanishusha cheo cha usiri unataka kunipandisha cheo kingne.??
ukubwa wa tonge moja ni cubic centimeter ngapi au ni gramu ngapi?
matonge ya mtu mzima yaani tonge linalo jaa kiganja changu. wewe ukipiga pasi ndefu walaje yahe?. mia
Mbona tgo yako haipatikani?
nala kawaida tu arifu...si unajua ukubwa wa tumbo ni ule ule...matonge ya mtu mzima yaani tonge linalo jaa kiganja changu. wewe ukipiga pasi ndefu walaje yahe?. mia
Huyu naye ana domo kubwa kama kapu la sadaka....
Huyu ni Diamond au Wema Sepetu...
Na wenye waume wengi je..??
umejuaje st. Paka mweusi ?? Yaani hapo kuna Ruttashobolwa , Chilli afu leo ni kama nimeskia katajwa Kaizer pia
me huwa nala hivi... sasa cjui hapo ni matonge mangapi????
mimi sina tigo au unasema namba ya simu?. nipigie kwa voda. lakini baadae jioni ntakua hewani mkuu. vipi upo mtaani kwetu nije? kama vipi baadae njoo maeneo ya ccm, siku hizi kuna urojo!. mia
umejuaje st. Paka mweusi ?? Yaani hapo kuna Ruttashobolwa , Chilli afu leo ni kama nimeskia katajwa Kaizer pia
me huwa nala hivi... sasa cjui hapo ni matonge mangapi????