unakula matonge au vijiko vingapi ili ushibe??

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,175
Reaction score
64,552
Ulishawahi kuhesabu ni matonge mangapi yanakufanya ushibe?. kama umepiga pasi ndefu halafu ukapata ugali utapiga matonge mangapi ya nguvu?. mimi huwa napiga matonge 18. hakuna baunsa wa njaa hii inamanisha kila mtu anakula. tupe maujanja yako katika kula. Uongee ukweli kwani haufungwi. mia
 
Hapo ni asubuh tu. Hapo nashtua minyoo then ndo nile


Hapo nimekuelewa mkuu,niliona kama unaanza kuniangusha mkuu.......
Shughuli hii Masharobaro hawaiwezi...Kitu cha ugali unashushia na Mbuzi choma
Toka Hapo unashushia Safari zako bila wasi...
 

ukubwa wa tonge moja ni cubic centimeter ngapi au ni gramu ngapi?
 
siye kwetu huwa tunakula kitu cha mbakishie baba...

 
mimi nikipiga pasi ndefu,sili sana.rate yangu ya kushiba inategemea ninakula wapi na niko na nani,nikiwa mwenyewe pia sili sana,bt kama ni sinia,hata ziwe kumi,nafinya hadi mwisho kama tuko wengi
 
Hawa sijui ni kina nani humu jamvini, naona wanajiuliza ili kuiondoa hiyo mount Kilimanjaro itahitaji matonge mangapi

 
Huyu naye ana domo kubwa kama kapu la sadaka....

 
Sasa mie ugali nala na uma na kisu kama natalia. Nitahesabu trips za uma ama?
 
Sasa mie ugali nala na uma na kisu kama natalia. Nitahesabu trips za uma ama?

natalia ale ugali umkwame kooni au aanze kucheua hovyo!...yule ala lasagna, petit perk ribs, spit roasted chicken, spanish rice n.k

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…