Shabiki wa Manchester United unatazama mabao ya aubemeyang, unacheki muvi za city, unatazama namna Salah na hazard wakishangilia, unacheki lukaku anavyokosa mabao, anavyoshindwa kutuliza mpira, roho inakuuma, Unakufa.
Unaazima simu ya mchizi wako >>> unaingia kwa gallery yake ... unakuta picha za uchi za demu wako wa kilokole, yule anaekwambia'ga kusex ni mpaka umuoe, unapata mshtuko Unakufa 😢😧