Unakutana na ID JF unakwenda pm unaomba number unatongoza unatumiwa na pic mnapanga kuonana unakwenda kuonana nae unachokiona sicho ulichokitarajia na unapanda presha unakufaaaa.
Unatoka mjengo ukiwa mchafu mbaya
Unaspot dem yako na maslay queen wengine
Unaenda kumhug anakuhepa
Anakwambia hakujui
Unasema BORA UHAI
Uhai pia inasema haikujui
Unakufa ϟ Olifo Olifo on Twitter
Unaumwa halafu unapost eti "Sick at Aga Khan Hospital" Mungu anatuma malaika anakutafuta Aga Khani nzima akuponye anakukosa'Kumbe upo Mwanymala hospital, Unazidiwa unakufa!