Hapana binafsi ningeambiwa kuchagua kazi basi ningekuwa mwl...Yoyote ambayo sio ualimu
Walimu mbona wabakopeshwa hadi milioni 60 na mabenki wanalipa kwa miaka sabaMwalimu hawezi kuwa na ela labda aibe sehemu
Hakuna aliyekulazimisha ung'ang'anie.Kwann ninga'nganie kuwa 1 out of 1000 wakat kuna fani nyingine zenye uwiano mzuri?
Mkuu mwalimu akishapewa cheque no chaap anakimbilia kuoa au kuolewa kuja kugundua kuwa ana muda mwingi wa kufanya mambo binafsi tayari anakuwa hatamaniki NMBWalimu mnapenda kulalamika sana utafikiri nyie ndio sekta yenye tabu na masimango sana wakati nyie ndio sekta yenye off time ya kutosha ya kufanya mambo mengine
SHAME!
Hujui kwamba wajinga ni wengi kuliko werevu?Hapana binafsi ningeambiwa kuchagua kazi basi ningekuwa mwl...
una muda mwingi WA off,unabarikiwa kwa kutoa ujinga kwa watu,...ww either umefukuzwa au umekosa huo ualimu...
Mbona wengi tu wana'fight' na hawapati hiyo kazi?
Hopeless! Hujui unachoongea eti statistical failure, yani kada ambayo ni wazi watu wake ni maskini kuliko watu wa kada zingine wenye same level ya education alafu unazungumzia mambo ya statistical failure.! Kingereza kingi kumbe hamna lolote?Hakuna aliyekulazimisha ung'ang'anie.
Ila pia usifanye mapungufu yako kuwa sababu ya kuwashawishi watu wasiingie kwenye vitu usivyoviweza.
Kuna watu wengine hawataki vitu rahisi wanataka fani ambazo ukiziweza vizuri na kuwa 1 out 1,000 unafanya vizuri sana.
Inawezekana hoja yako kimsingi ina mashiko, lakini umeshindwa kutoa sababu za maana kushawishi, umeonesha mapungufu yako tu.
Ungesema msisomee kuenda kuwa walimu kwa sababu fani ya ualimu inaenda kutoweka duniani watu watajifunza kwa AI, hapo ungekuwa una hoja ya msingi kwa sababu fani nzima ingeonekana haina future.
Sasa wewe unalalamikia ualimu kwa sababu wewe mwenyewe ume fail, you are a statistical failure, not an imminent failure, wakati kuna watu wanafundisha wanapanda mpaka kufundisha vyuoni wanachagua wafundishe nchi gani, hapo ukilalamikia fani unajionesha una a failure of imagination tu.
Well saidHakuna aliyekulazimisha ung'ang'anie.

Hahahaha hahahaha daaahNa hutopata demu mzuri ngo' ukitongoza akajua tu we ni mwalimu ,demu huyooo
Wewe una frustrations za maisha ualimu ushakupiga unakuja hapa na hasira zako.Hopeless!
Walimu ni Chanzo cha maarifa na elimuHii ndio the worst job ever, usikubali kuwa mwalimu liwalo na liwe ,bora ukaponde kokoto
Uko smart sana..yaani umesoma saikologia yake na umesummarise kisomi sana ..nimependa...Wewe una frustrations za maisha ualimu ushakupiga unakuja hapa na hasira zako.
Waachie wenzako wanafundisha shule nzuri wanalipwa vizuri.
Sema wewe umeshindwa ualimu, usiwavunje moyo wengine wanaotaka kufanya hiyo kazi.
Shule nzuri zipi,kwa mshahara upi, pia mi sio mwalimu siwezi fanya hiyo kazi ya kipuuzWewe una frustrations za maisha ualimu ushakupiga unakuja hapa na hasira zako.
Waachie wenzako wanafundisha shule nzuri wanalipwa vizuri.
Sema wewe umeshindwa ualimu, usiwavunje moyo wengine wanaotaka kufanya hiyo kazi.
Watu wanapeleka watoto shule ili wazazi wakafanye majukumu mengine.We ndio mpuuzi, hakuna unachojua, kwanza bila ualimu ht we usingeweza kuja kuandika huu upuuzi wako JF. Pili mishahara inategemea uchumi wa nchi husika. Mishahara ya serikali nchi hii kwa fani zote inalingana, tena mwalimu mshahara wa kuanzia ni mzuri zaidi kuliko kwa mfano mwanasheria wa serikali. Ht wachumi, wahasibu wa serikali mishahara ni equivalent. Tatizo lako ni uvivu wa kazi na kutaka shortcut. Walimu sk hz wana maendeleo makubwa km kada zingine. Ualimu utakuwepo mpk mwisho wa dahari, we mwenyewe ukiwa na hela unataka umpeleke mtoto wako shule nzuri, huko wanaomfundisha siyo walimu? Tuheshimu ualimu na walimu.
Ona ulivyo mjinga na akili za kimaskini,kwaiyo mtu mwenye degree kulipwa basi salary 850,000 ni jambo la kujivunia !🤣🤣🤣🤣🤣🤣 baada ya deductions anabaki na kama laki 5 iviUko smart sana..yaani umesoma saikologia yake na umesummarise kisomi sana ..nimependa...
Watu wengi sana wanandoto za kuwa walimu...hivi mshahara wa 850000/-basic kwa degree ya ualimi ni pesa ndogo?
Hujakubali kuwa ukishakuwa mwalimu wewe katika post #6 ?Shule nzuri zipi,kwa mshahara upi, pia mi sio mwalimu siwezi fanya hiyo kazi ya kipuuz
Hao umaskini umeshawadumaza akili achana nao hawawezi kuelewa.Watu wanapeleka watoto shule ili wazazi wakafanye majukumu mengine.
Elimu siku hizi ipo kila mahali tena sio hiyo ya kufundishwa na walimu vilaz,a wasiojua hata somo la uraia.
Mimi watoto wangu muda mwingi wanatumia kujifunza kupitia mitandao na wanaelewa zaidi kuliko madesa ya huko mashuleni.
Mwenzako mwanasheria kwa mfano akiajiriwa anakuwa na posho na marupurupu kadhaa sasa wewe mwalimu una posho na marupurupu yapi?
Hapa hujakubali ulishakuwa mwalimu wewe?Mi sio mwalimu kwa sasa , ndugu jasusi eli cohen.ila niliwahi kuwa na mpk sasa bado naona kwa ndugu na marafiki jinsi ambavyo hii kada haijabadilika. The worst ever, ukitaka professional poverty ingia kwenye ualimu.