Acha uongo wewe, hakuna mfanyabiashara makini ataacha kusimamia biashara zake akacheze na watoto.Labda useme walikua walimu wakaacha hiyo kazi ya kijinga wakaingia kwenye business. Kenge wewe 🤣🤣🤣Vijijini kuna walimu matajiri wana maduka mashine za kusaga,mashamba wengine huwa wanunuzi wa mazao kwa wakulima vijijini na kuyauza kwenye masoko yenye bei nzuri
Kuna walimu kumtoa kijijini umpe uhamisho anaacha kazi
Wote walimu ndio kwani kuna shida gani ila sa100 sio mwalimu yeye ni mpishi anaedili na mitungi ya gesi na pia alipenda sana kua air hostess, una swali lingine?We kima si ukae kima km huna cha kuandika? Marais wa nchi wake zao walimu. Baba wa Taifa, Kikwete, Magufuli wake zao walimu, sijataja mawaziri wakuu na viongozi wengi wa kada za juu
Naunga mkono umenena kweli manakada za ualimu na udaktari ni muhimu sana waongezewe posho na mshahara
Kwenye maisha changamoto zipo kila mahali ila ualimu ni upuuzi.
Ooiho kwani vipi?We ****** mi siyo mwalimu ila we una frustration kwasababu ya ufukara. Halafu bwege km we ht huo ualimu huwezi pata, mlaumu mamako kuzaa zombie km wewe.
Bwana wewe huyo mtu anakwambia ukweli ila sasa kinachotokea kwa mwalimu km huyo anakua ame-take over yaan anamiliki eneo analolifanyia kazi yeye yeye ndio mwenye kibanda cha kuonyesha mpira, yeye yeye ndie mwenye duka, yeye yeye ndie mwenye kusupply umeme wa jenereta kwa malipo kidogo mchawi mafuta tu, yeye ndie mweenye shamba kubwa la mahindi na mpunga, bad enough mashamba hua wanapewa na serikali bure walime wanachotaka maana ardhi ni ya serikali hapo unasemaje? Ila tu ukifika wakati wa kupiga kura kipindi cha Uchaguzi Mkuu lazima uwekwe front ukaibe kura ole wako ukataeAcha uongo wewe, hakuna mfanyabiashara makini ataacha kusimamia biashara zake akacheze na watoto.Labda useme walikua walimu wakaacha hiyo kazi ya kijinga wakaingia kwenye business. Kenge wewe 🤣🤣🤣
Naam.Very few, 1 out of 1000.
Mkoa gani walimu wanaoana wenyewe kwa wenyewe we wa wapi?Kuna familia kama wewe ni mwalimu huoi binti yao ng'o!
Mikoa yote. Tena bora wanawake wanapata wanaume kutoka profession zingine,ila mwanaume imekula kwako!Mkoa gani walimu wanaoana wenyewe kwa wenyewe we wa wapi?
Hivi samahani mtoa mada..KAZI ya maana ni kama ipi?Acha kulia we teacher tafuta kazi ya maana.
Unajua hata kuendesha wewe? Bakheresa ukishawahi muona akiuza ashkrim barabarani? Au Reginald Mengi ulishawahi kuona akitangaza taarifa ya habari ITV?Acha uongo wewe, hakuna mfanyabiashara makini ataacha kusimamia biashara zake akacheze na watoto.Labda useme walikua walimu wakaacha hiyo kazi ya kijinga wakaingia kwenye business. Kenge wewe 🤣🤣🤣
Kama zipi?Kwann ninga'nganie kuwa 1 out of 1000 wakat kuna fani nyingine zenye uwiano mzuri?
Ni hela yako tu hata uwe mtapisha vyoo kama una hela wanaolewa bila shidaMikoa yote. Tena bora wanawake wanapata wanaume kutoka profession zingine,ila mwanaume imekula kwako!
Yani dada wa watu pisi na ni muhasibu wa benki au kampuni flan akubali kuolewa na jianaume linalompumulia vumbi la chaki ? Ah wapi!