kwani kakuoa ili akutatulie matatizo yako na ukoo wenu! duh, kuoa mwanamke wa tz ni stress tupu, ni kujitakia kufirisika, maana akutunze wewe,ndugu zako, ndugu zake na bado yeye mwenyewe.....ndio maana wanaume wengi waliooa wanakufa mapema, duhMimi binafsi nitakubali kuacha kama atakubali na atakuwa na uwezo wa kunipa hela za kutuma kwa wazazi wangu na wadogo zangu kama ninavyofanya sasa. Bila kusahau kulipa ada za shule za wadogo zangu na hela zao za matumizi. Ambazo zote hizo nafanya Mimi mwenyewe kwa kutegemea kazi.
Pia baada ya hapo anitunze na Mimi aninunulie mahitaji yotee. Tofauti na hapo aniache nipambane na hali yangu. Wazazi wangu hawakunisomesha ili vyeti niweke kabatini huku nao wanateseka shida na uzee.
Acha kutudanganya bwana wee.....eti mwanamke akiwa na kazi anakupunguzi mzigo...nyooo....mwanamke ata alipwe billion bado atataka mwanaume alipe bill zote ndani ga nyumba.
Umenisoma vizuri lakini?kwani kakuoa ili akutatulie matatizo yako na ukoo wenu! duh, kuoa mwanamke wa tz ni stress tupu, ni kujitakia kufirisika, maana akutunze wewe,ndugu zako, ndugu zake na bado yeye mwenyewe.....ndio maana wanaume wengi waliooa wanakufa mapema, duh
Mimi binafsi nitakubali kuacha kama atakubali na atakuwa na uwezo wa kunipa hela za kutuma kwa wazazi wangu na wadogo zangu kama ninavyofanya sasa. Bila kusahau kulipa ada za shule za wadogo zangu na hela zao za matumizi. Ambazo zote hizo nafanya Mimi mwenyewe kwa kutegemea kazi.
Pia baada ya hapo anitunze na Mimi aninunulie mahitaji yotee. Tofauti na hapo aniache nipambane na hali yangu. Wazazi wangu hawakunisomesha ili vyeti niweke kabatini huku nao wanateseka shida na uzee.
Umenisoma vizuri lakini?
Hayo majukumu ya wazazi na ndugu zangu Mimi ndiyo ninayeyafanya.
Na ninategemea hii kazi ili niweze kukidhi mahitaji yao.
Leo nikiacha kazi nani atawaangalia? Hivyo kama akiniachisha kazi akubali kubeba hayo majukumu.
Kipi kisichoeleweka mpendwa?
hapo kwenye red unatakiwa useme wanaume waliooa wanawake wa hivyo wanakufa mapema.kwani kakuoa ili akutatulie matatizo yako na ukoo wenu! duh, kuoa mwanamke wa tz ni stress tupu, ni kujitakia kufirisika, maana akutunze wewe,ndugu zako, ndugu zake na bado yeye mwenyewe.....ndio maana wanaume wengi waliooa wanakufa mapema, duh
Tunauza Dawa za kuchomoa betri la Tank la mafuta bila kuripuka tunapatikana mikoa yote tz
A man should provide for his family, and to protect them. Kwa hiyo sisi tutasaidia tuu tukiamua maana si jukumu letu. Na akisema niache kazi anatakiwa anioneshe kwamba he's capable of being a good provider and protector. Siyo niache kazi unilishe miugali kila siku.Mwanamke hata kama ni Governor wa BOT halafu mume wake ni msafisha kucha au muuza mananasi kariakoo.
Linapokuja suala la responsibilities, lazima tu mwanamke huyo atamtaka mume wake ndio anunue mboga.
Nature is unadjustable.
Hahahahahaha Lizarazu bhanaRaha sana mwanaume ukiwajua wanawake maana itakufanya ujue jinsi ya kufanya chaguzi sahihi kuendana na falsafa zako na ukaishi kwa amani kabisa.
hapo kwenye blue ndivyo jinsi wanawake wengi wenye kazi zao walivyo! nadra sana kuona wakizipa priority familia zao walizojenga wao na waume zao kwenye vipato vyao.
You precisely exemplify married career/employed women.
You are wrong.Kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu wanawake kuolewa halafu Wanaambiw waache kazi na waume zao. Yaani mfano mwanamke ni mwalimu akishaolewa anaambiwa acha kazi ukae nyumbani nitakuhudumia kwa kila kitu, na yeye anakubali kuacha kazi.
Hivi kweli mtu umesoma na wakati mwingine kazi hiyo kuipata nguvu imetumika, halafu unakubali kirahisi rahisi tu kuacha kazi ili ukae nyumbani ulee watoto, mwisho wa siku ukikubali kuacha kazi unapewa huduma kwa muda mambo yanabadilika mnaanza kulia lia, huu ni ujinga usio na mfano.
Lakini pia na nyie wanaume huwa mnafikria nini kumuachisha mkeo kazi ili akae nyumbani? Huku ni kutokujiamini, uoga na wivu kijinga, kwanza mwanamke akifanya kazi anakuwa na uwezo wa kujihudumia na kukupunguzia mzigo, Vilevile ni rahisi kuepuka vishwawishi tofauti na wale waliokaa tu bila kazi. Lakini pia hakuna aijuaye kesho yake, mwanamke akiwa na kazi ni rahisi kuhudumia familia pindi Mungu akikuchukua tofauti na yule ambae hana kazi.
Unless kama na mwanaume pia haangaiki na alipotokea. Ila kama mwanaume atapamnbana na wazazi wake na ndugu zake kwa nini Mimi niache wazazi wangu walioenda kwenye vibarua vya kulima ili nipate ada niende shule, niwaache wateseke na uwezo wa kuwafanya waishi vizuri ninao?Unaolewa kujenga familia yenu na mme na sio ya ulipotokea. Wao wajiangalie wenyewe
Acha kutudanganya bwana wee.....eti mwanamke akiwa na kazi anakupunguzi mzigo...nyooo....mwanamke ata alipwe billion bado atataka mwanaume alipe bill zote ndani ga nyumba.
Tena katika vitu ambavyo mie nitakuwa mstari wa mbele kumnunulia mke wangu ni chupi....hapo nanunua zile napenda mie.Walau atajinunulia chupi na lotion
We ndo ulipe bill
Au utanunua kiiila kitu?.
Kuna atayeishi milele, nimetolea mfano.Hivi ni kwanini kuna watu huwa mnawaza kufa kufa tu? kwanini watu mnakuwa mapessimist kiasi hiki?
BTW, your whole epistle makes no sense to me.
Mhh wewe naachaje kuwaassist familia yangu kisa tu eti nimeolewa..Unaolewa kujenga familia yenu na mme na sio ya ulipotokea. Wao wajiangalie wenyewe
Mhh haya ngja ufike ndo utapata picha kamiliTena katika vitu ambavyo mie nitakuwa mstari wa mbele kumnunulia mke wangu ni chupi....hapo nanunua zile napenda mie.
Mie nimioa namwambia mke kabisa kuwa hela yako fanya utakalo wali sitauliza senti. Ila cha msingi mie ndani ya nyumba nachoomba ni no stress and must be the most peaceful place on this earth for me...thats all i ask.
Mhh wewe naachaje kuwaassist familia yangu kisa tu eti nimeolewa..
Ukioa hutosaidia wazazi wako?.
Unless kama na mwanaume pia haangaiki na alipotokea. Ila kama mwanaume atapamnbana na wazazi wake na ndugu zake kwa nini Mimi niache wazazi wangu walioenda kwenye vibarua vya kulima ili nipate ada niende shule, niwaache wateseke na uwezo wa kuwafanya waishi vizuri ninao?