Unakubalije kuachishwa kazi na mwanaume?

A man should provide for his family, and to protect them. Kwa hiyo sisi tutasaidia tuu tukiamua maana si jukumu letu. Na akisema niache kazi anatakiwa anionyeshe kwamba he's capable of being a good provider and protector. Siyo niache kazi unilishe miugali kila siku.
BTW, I have missed arguing with you

Providing/taking care of the family that’s fundamental responsibility of any man, bu he should do so for the person who is rightfully in need of that. Sio kwa mtu ambaye nae pia ana uwezo huo!

Kama wewe kutoa hela yako mfukoni kununua mboga ni mpaka siku ukijiskia basi hata yeye pia atakuwa sahihi kufanya hivyo siku akijiskia.

Maana mpka kufikia hatua ya kuweza kuingiza pesa zako mwenyewe hapo lazima kuna sifa za mtu anayepaswa kuletewa tu mume wake utakuwa huna.

i miss your stream of discernment too girl.
 
Ehh smthn is not right here...kujiskia tena.,?

A man is supposed to provide for his family ..Period

Ni km vile mke anavokua na jukumu la kufanya usafi nyumbani kwake ama kupika
 
Umenisoma vizuri lakini?
Hayo majukumu ya wazazi na ndugu zangu Mimi ndiyo ninayeyafanya.
Na ninategemea hii kazi ili niweze kukidhi mahitaji yao.
Leo nikiacha kazi nani atawaangalia? Hivyo kama akiniachisha kazi akubali kubeba hayo majukumu.
Kipi kisichoeleweka mpendwa?
haya mpendwa, now nmekuelewa
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👊🏽👊🏽👊🏽👍🏽 Ni mwanamke asiyejitambua tu na mpumbavu atakayekubali kuachishwa kazi na mumewe eti sababu tu kaolewa.

Mimi binafsi nitakubali kuacha kama atakubali na atakuwa na uwezo wa kunipa hela za kutuma kwa wazazi wangu na wadogo zangu kama ninavyofanya sasa. Bila kusahau kulipa ada za shule za wadogo zangu na hela zao za matumizi. Ambazo zote hizo nafanya Mimi mwenyewe kwa kutegemea kazi.
Pia baada ya hapo anitunze na Mimi aninunulie mahitaji yotee. Tofauti na hapo aniache nipambane na hali yangu. Wazazi wangu hawakunisomesha ili vyeti niweke kabatini huku nao wanateseka shida na uzee.
 
Hivi ni kwanini kuna watu huwa mnawaza kufa kufa tu? kwanini watu mnakuwa mapessimist kiasi hiki?

BTW, your whole epistle makes no sense to me.
Nilijua tu lazima uje hapa

Mwanaume sio Mara zote utakuwa na hela..kuna siku unaweza fulia ,mkeo atakusaidia.

Kuna siku utaugua,hutaweza kufanya kazi, kwa kipindi hicho mkeo ndiye msaada.
 
Nilijua tu lazima uje hapa

Mwanaume sio Mara zote utakuwa na hela..kuna siku unaweza fulia ,mkeo atakusaidia.

Kuna siku utaugua,hutaweza kufanya kazi, kwa kipindi hicho mkeo ndiye msaada.

ahahaha! haya mama huu ushauri wako umeniingia. Nitajaribu kuupeleka kwenye almashauri ya bongo yangu kama utapitishwa.
 
Hapo hoja yako ilikuwa ni "mwanaume kupunguza 'mzigo' wa kuhudumia mwanamke" huko kwingine kote umezunguruka tu

Sasa mimi nawashangaa sana wanaume yaani kuhudumia wake zenu mnaona ni mzigo ila wao kuwalea ninyi mnaona sawa na hamjioni kuwa ni mizigo kwao si eti?
 
Back
Top Bottom