Unakubalije kuachishwa kazi na mwanaume?

Kukiuka maagizo ya Mungu na mwili kuwa hekalu la shetani vinahusiana nini? Ndugu yangu maandiko waachie wanaojua kuyatafsiri ninyi mnaoyasoma kama hadithi mnayageuza yawe kama mnavyotaka ninyi jiulize kama kosa lilikuwa ni la Evah tu kwanini hakupewa adhabu peke yake kwanini hadi Adam naye alipewa adhabu?
Tukianzia hapo hapo kwenye biblia hivi msababishi wa maovu yote au kuharibika kwa huu ulimwengu alikuwa ni nani? naongelea aliyeanza kukiuka agizo la Creator/sir God
 
Kukiuka maagizo ya Mungu na mwili kuwa hekalu la shetani vinahusiana nini?
Mwanamke ndio alitoa fursa kwa shetani(Nyoka) ya kumchallenge Almighty creator(Mungu) kwa kupuuza agizo lake, labda kwa kukujuza tu wakati Eve akiwa tayari ameshakula tunda la mti wa mema na mabaya na kisha kwenda kumshawishi Adam, pale hakuwa Eva yule yule tena bali alikuwa ni shetani aliyeuvaa mwili wa Eva, na ndio maana nakwambi mwanamke ni hekalu la shetani sababu yeye ndio alitumika kama nyenzo kwenye juhudi za awali kabisa za shetani kupambana na Mungu. Bila shaka umeelewa sasa huo uhusiano unaouulizia.
Ndugu yangu maandiko waachie wanaojua kuyatafsiri ninyi mnaoyasoma kama hadithi mnayageuza yawe kama mnavyotaka ninyi jiulize kama kosa lilikuwa ni la Evah tu kwanini hakupewa adhabu peke yake kwanini hadi Adam naye alipewa adhabu?
Maandiko kila mtu ana interpret kulingana na uelewa wake maana yenyewe tu yako so ambiguous, lakini bado tunaweza kuyatafsiri wote na tukapata maana inayoelekeana.

Pia unaposema kwanini adhabu walipewa wote wawili na sio Eva tu pekee yake!! sielewi kabisa lengo la swali lako ni nini. Labda na mimi nikuulize swali kabla sijakujibu swali lako, leo hii boss wako akikuachia kazi ya kufanya, halafu akatokea mfanya mwenzio ambaye wote boss wenu ni huyo huyo mmoja akakwambia kwamba usiifanye hiyo kazi na wewe ukamsikiliza huyo mfanya kazi mwenzio ukaacha kuifanya kweli. Hivi hapo boss wenu akija kuchukua hatua kwa kosa hilo mlilofanya, atamchukulia mmoja wenu tu halafu mwingine atamuacha wakati wote mmeshindwa kutii/mmepuuza mamlaka yake?
 
Kwanza mfano mzuri tu wa dharau na kejeli ni kama vile ulivyosema kuwa wanawake miili yetu ni hekalu la shetani na unaitetea kabisa hoja yako sasa mimi nimekuomba andiko kutoka kwenye biblia linalosema kuwa mwanamke mwili wake ni hekalu la shetani ulilete hapa hilo andiko maana mimi nimekuletea andiko linalosema kuwa miili yetu wanadamu wote ni hekalu la Mungu

ahahahaMarianah bhana kwa hiyo hii kauli yangu ndio imekuwa point of reference ya haya madai yako kuwa wanaume tuna dharau?!! anyway nimeshaitolea ufafanuzi hapo juu
 
Unataka kujua dharau na kejeli ziko wapi? Pitia baadhi ya comments za baadhi ya wanaume kwenye baadhi ya threads za humu JF hasa MMU!

Kama unaitumia MMU as a basis conjecture to back up your claims then you are not being fair and reasonable enough in this discussion.

Hapa MMU kuna threads na comment nyingi sana za udhalilishaji na dharau kwa wanaume, si ndio hapa hapa wanaume wanaitwa wavulana, sijui mafurushi n.k !!?

Sasa kama hata wanaume nao pia wanadhalilshwa na kudharauliwa hapa MMU kivipi useme wanawake pekee ndio wahanga wa kejeri na dharau zilizopo humu?
 
wasikuchoshe hawa, hata wakiwa na hela nyumban huwa hazionekani. sembuse mpka afe. wanaongea tu hapa hawapo kwenye ndoa
Mmmmm inamaana ata wakilipwa mshaara wa million 30 auta onekana nyumbani?
 
Mwanamke ndio alitoa fursa kwa shetani(Nyoka) ya kumchallenge Almighty creator(Mungu) kwa kupuuza agizo lake, labda kwa kukujuza tu wakati Eve akiwa tayari ameshakula tunda la mti wa mema na mabaya na kisha kwenda kumshawishi Adam, pale hakuwa Eva yule yule tena bali alikuwa ni shetani aliyeuvaa mwili wa Eva, na ndio maana nakwambi mwanamke ni hekalu la shetani sababu yeye ndio alitumika kama nyenzo kwenye juhudi za awali kabisa za shetani kupambana na Mungu. Bila shaka umeelewa sasa huo uhusiano unaouulizia.
Maandiko kila mtu ana interpret kulingana na uelewa wake maana yenyewe tu yako so ambiguous, lakini bado tunaweza kuyatafsiri wote na tukapata maana inayoelekeana.

Pia unaposema kwanini adhabu walipewa wote wawili na sio Eva tu pekee yake!! sielewi kabisa lengo la swali lako ni nini. Labda na mimi nikuulize swali kabla sijakujibu swali lako, leo hii boss wako akikuachia kazi ya kufanya, halafu akatokea mfanya mwenzio ambaye wote boss wenu ni huyo huyo mmoja akakwambia kwamba usiifanye hiyo kazi na wewe ukamsikiliza huyo mfanya kazi mwenzio ukaacha kuifanya kweli. Hivi hapo boss wenu akija kuchukua hatua kwa kosa hilo mlilofanya, atamchukulia mmoja wenu tu halafu mwingine atamuacha wakati wote mmeshindwa kutii/mmepuuza mamlaka yake?
Basi umeshajibu nilichokuwa nataka hivyo kumbe WOTE WALIPUUZA NA WALISHINDWA KUTII na siyo mwanamke peke yake
 
Huo ufafanuzi ni kwa mujibu wa fikira zako wewe nimetaka ufafanuzi kwa mujibu wa maandiko ya Mungu naona unazunguka tu
ahahahaMarianah bhana kwa hiyo hii kauli yangu ndio imekuwa point of reference ya haya madai yako kuwa wanaume tuna dharau?!! anyway nimeshaitolea ufafanuzi hapo juu
 
Kama unaitumia MMU as a basis conjecture to back up your claims then you are not being fair and reasonable enough in this discussion.

Hapa MMU kuna threads na comment nyingi sana za udhalilishaji na dharau kwa wanaume, si ndio hapa hapa wanaume wanaitwa wavulana, sijui mafurushi n.k !!?

Sasa kama hata wanaume nao pia wanadhalilshwa na kudharauliwa hapa MMU kivipi useme wanawake pekee ndio wahanga wa kejeri na dharau zilizopo humu?
Sasa mwanaume anayesema "wanawake wote ni malaya na wadangaji na hawafai kuolewa ni wa kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha tu" huyo unataka tumuiteje?
 
Changamoto za mwanamke anae kaa nyumbani huwezi kulinganisha na za yule anaetoka na kwenda kutafuta hela. Huu ukweli ukiukataa nitakuona hupendi ukweli zaidi ya kupoteza muda.

Hayawezi kuwa yale yale kwani la kukaa nyumbani suala la kimaumbile na la kutoka ni kinyume chake,haviwezi kuwa sawa.

Una familia bibie ?
hivi unawajua vizuri wa mama wa nyumbani.Jirani yangu mke wake ni mama wa nyumbani. na mume kazi zake ni hizi za shift, mara kaingia day mara kaingia night. sasa yule mama mme akiwa night analeta bwana mwingine nyumbani analala na anaondoka asubuhi saa 11. akiwa day mama full kuranda randa kufata vimeo vyake. na hivy tunapaka fenci siku zingine wanamkaziapembeni ya fence na tunaona na kusikia kila kitu. tafuta mwanamke mwenye tabia njema haijalishi anashinda nyumbani ama anenda kazini
 
Wanawake wa Tanzania sio wa kuoa Ndugu zangu .. Nimekutana na wanawake wa mataifa kadhaa nathubutu kusema wanawake wa Tanzania kichwani hakuna Kitu aiseeh .. Kuanzia kwenye fikra bobezi za maisha mpaka namna ya kuishi ni zero ...

Ukitaka kuoa nenda zako hapo Ethiopia Watoto mashaallah ... Au ibuka Pale Gaborone au Windhoek mtakuja kuona hapa bongo hakuna wanawake ila betri za Malori muda wowote zitaripuka.. Endeleeni tu kujitoa ufahamu
itabidi nitinge Ethiopia au Eritrea pale
 
kwani kakuoa ili akutatulie matatizo yako na ukoo wenu! duh, kuoa mwanamke wa tz ni stress tupu, ni kujitakia kufirisika, maana akutunze wewe,ndugu zako, ndugu zake na bado yeye mwenyewe.....ndio maana wanaume wengi waliooa wanakufa mapema, duh
vipi wewe umeoa?
 
Imeendikwa mwanaume atakula kwa jasho kwa maana Ndio mtafutaji, mwanamke atazaa kwa uchungu ndo mleaji

Mwanamke kazi ya sio kutafuta
 
Back
Top Bottom