Unakipaji gani?

Unakipaji gani?

Age ni 19.. Dhu sasa mm sijui hiki ni kapaji au uwezo tu wa mtu binafsi na uwezo mkubwa kiakili tu wa ku process information na kuchangauna mambo pia mm ni mchoraji, napenda kucheza draft "chess" na computer au na-wazee pia gemu la kupanga Tetris kwa maa napenda kutumia akili sema sependagi sana kujionyesha kama naweza au nauwezo kuliko wengine napenda kuwa mpole watu wanione wakawaida sitakagi kujionyesha kama najua
uwezo wa ku process information na kuchanganua mambo!! Mkuu umesoma ulichokiandika?
 
Unaweza kulambalamba?
IMG_20181107_155538.jpeg
 
Me nina kipaji cha kuona vitu visivyoonekana kwa macho ya nyama hiki ni kipaji tangu nikiwa mdogo asaivi ndo kinazidi kuimarika yaani wewe hata ujifiche vipi me nakuona raha sana mpaka najiogopa sehemu ya watu wengi naonaga vituko sana
JAH BLESS,
 
Back
Top Bottom